Wanaume kwanini tunashoboka kwa wanawake wasiotutaka na wenye nyodo?

Mkuu, kwanza nikupongeze kwa kuweza kuidhibiti tamaa ya mwili! Mwanamke wa namna hiyo siyo wa kumchakata mbususu, maake atakuona rofa!
Funzo kwa wanaume wote!
Kama tutazidi kujishusha na kushobokea viumbe hawa, idadi yetu itapungua siku hadi siku!
Mola aniepushe mbali na tamaa za ajabu! [emoji34][emoji34]
 
Walifahamiana vipi na mkeo
 
Mwanangu mambo yako mzur mijengo three [emoji23][emoji23] mungu baba akupe nn tena. Honger kaka bro.
 
Mtoa mada : Kwa nini unapenda au kushobokea wanawake wasiokupenda au wenye nyodo?.

Mimi : Kwa sababu napenda sana challenge, la sivyo it's no fun.
 
Sio lazima kujipendekeza,
Sometimes unatenda wema,
Afu yeye anakuchukulia tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man achana na hizo mambo zitamaliza muda wako na hela pia nguvu.
Focus kwa hela man
 
Kuna mjinga mwingine kanishow madharau hapaa bila kujua Kama mie nimetumwa kuja kulipa mishahara any way ngoja tuone mwisho wa picture
 
Ngoja tuendelee kuazima magari maana hamna namna.
 
Kama Kodi alikupa bila kuandikishiana wewe husinge mrudishia na wewe unge mkana kabisa
 
Nimependa uamuzi wako mkuu
 
 
Nataka nije kupanga nyumba iliyobaki...naomba nielekeze mahali nyumba ilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…