Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
- Thread starter
- #41
Yaani wanaume wengi wanakufa ma lifilisika kwasababu ya wanawakeElon hana mke maana wanawake wanawivu wa hatar
Kila nikikumbuka story ya Le Mutuz jinsi mwanamke alivyotaka kumfanya mtumwa wake naona ni bora kuoa robot