Wanaume matajiri wanawaoa maroboti ya kike

Wanaume matajiri wanawaoa maroboti ya kike

Niliwambiaga punyeto haina madhara,sasa ona watu wenye akili wanavyoiboresha
 
Bado nawaza likapata hitilafu wakati wa show,,,, hiyo shoti atakayokula mjuba[emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] msisimko wake utakua wa hatar sana
 
Hapo vip!!
Hatimae roboti za kike zinashika kasi sana Duniani.Wanasema hizi roboti ni watamu kuliko wanawake wakaida...
Naiona fursa ya ki biashara hasa hasa huku afrika unalinunua na kua unakodisha kama playstation vile na ona fursa yaki biashara 😊😊😊🤓😂
 
KUNA VITA KUU MBILI DUNIANI KWASASA:
1. Vita ya kumfanya mwanamke kiongozi...ilianzia kwenye 50/50
Na ilianzia Beijing

2. Vita ya pili ni kuisusa Kei ya mwanamke...imeanzia Magharibi kupigia debe kupumuliana wanaume na sasa Midoli ya kike
Nawaza miaka 100 ijayo Hali itakuaje[emoji848]
 
Kamata chini kamatia chini
FB_IMG_1684326290137.jpg
 
Aiseeeeee mpaka bwana Yesu arudi tutashuhudia mengi...
 
Naiona fursa ya ki biashara hasa hasa huku afrika unalinunua na kua unakodisha kama playstation vile na ona fursa yaki biashara 😊😊😊🤓😂
Unafungua kituo cha jim halafu kenyewe unakaweka kwenye kachumba kake maalum watu wanajipigia dah ni hatari utapiga mihela, halafu unakaseti kwa muda kama vile enzi za internet cafe
 
Back
Top Bottom