Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itapendezanikusaidie
hakuna anae umia hebu soma maelezo yangu vizuri halafu uzoom vizuri hyo dp au kidhungu shidaInamtesa ya wanaume kula na kusepa.Anatumia energy kubwa kuwa aminisha watu picha ina maana ambayo hata haiendani. KWAMBA NI WANAUME AMBAO WANASEMA HAWAOI ndiyo wamelala hivyo . Embu tumkumbushe kidogoView attachment 2280277
Ww unatucheksha...sasa oxygen inahusiana vp na kuvimba jmaniiiiNina majirani zangu huwa wakiamka asubuhi wakiwa wanatoka humo ndani kama wanakimbizwa. Anatoka wanaume kwa wanawake ukihesabu 9 unakuta unacheka tu, maana wanatoka wamevimba kisura kukaa watu wengi oxygen inakuwa ndogo asubuhi wanatoka kama maputo [emoji1787]
[emoji1787] [emoji1787]
😂😂 maelezo yangu juu na picha ulipoizoom umeelewaje au kidhungu shida?Duuh,hili swala la wanaume kuto kuoa lina kuuma sana inaonekana.
Kwanza hata picha haihusiani na swala la kuoa kabisa.
Maana kuna wanaume humo wamelala na wanawake.
-Aliye toa wazo la watu wako kwenye Interview wame organize kuchukua eneo moja kujiegesha kidogo Ina make sense.
-Q net gang maana wanajikuta Wana maisha,Wakati Kwa uhalisia wao hawana maisha.
-Wakimbizi,inaweza ku make sense at least.Maybe walikimbia kwa pamoja wakapata kichumba wakaamua kuliendeleza
- Wafanyakazi wa boss,Boss kawaweka hapo.Pakikucha kazi inaendelea.
Lakini siyo swala la kuoa[emoji16],Hata picha haiendani kabisa.
Swala la kuoa hata bible imeandika Kwa kipindi hiki na kijacho mwanaume atakuwa kama dhahabu akigombaniwa na wanawake wengi.Wala usiumize kichwa[emoji16]
Si kwasababu wanaume wengi wamekuwa mashoga ndo maanaInamtesa ya wanaume kula na kusepa.Anatumia energy kubwa kuwa aminisha watu picha ina maana ambayo hata haiendani. KWAMBA NI WANAUME AMBAO WANASEMA HAWAOI ndiyo wamelala hivyo . Embu tumkumbushe kidogoView attachment 2280277
Nakupa mtihan kidogo kaa ndani siku nzima funga mkanda nenda kazurure lisaa utaona nguo inavuka. Mda mwingine ukikaa ndani sana mwili unavimba. Nilikuwa nawaza oxygen ikiwa ndogo ndio inapelekea mwili kuvimba vimba. .Ww unatucheksha...sasa oxygen inahusiana vp na kuvimba jmaniiii
Hapo kwenye kujua kila kitu kuhusu wanawake na wenye pesa chafu hapo umetia chumvihalafu mnajua kila kitu, dunia hii kuhusu mwanamke, na mnapesa chafu balaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa hauoi haimanishi usizae mkuu unaweza kuwa na mtotomkuu akuna anaeumia tunawakumbusha tu msije uzeeni mkaanza kungangania watoto wa dada zenu waje wawatembelee[emoji23]
Inawezekana tembea uoneKulala watu wa jinsia moja unaweza usishangae ila pale wanapokuwa jinsia tofauti tofauti inafikirisha. .
Polee sana Kwa swahibu linalo kuzonga moyoni.maelezo yangu na pc hujayaelewa nikusaidie tu somacoment ya venossah juu itakusaidia walau
Labda wako msibani.Yani hapo najaribu kuelewa lakini sielewi.