Wanaume mje mtoe neno moja hapa

Wanaume mje mtoe neno moja hapa

Unatusingizia huwa hatuko hivyo

Hao ni wale wahuni wa vilabuni na wapenzi wao


Sisi wa kwenye vikao tuna mageto yetu
halafu mnajua kila kitu, dunia hii kuhusu mwanamke, na mnapesa chafu balaaa😂😂😂
 
Inamtesa ya wanaume kula na kusepa.Anatumia energy kubwa kuwa aminisha watu picha ina maana ambayo hata haiendani. KWAMBA NI WANAUME AMBAO WANASEMA HAWAOI ndiyo wamelala hivyo . Embu tumkumbushe kidogoView attachment 2280277
hakuna anae umia hebu soma maelezo yangu vizuri halafu uzoom vizuri hyo dp au kidhungu shida
 
Nina majirani zangu huwa wakiamka asubuhi wakiwa wanatoka humo ndani kama wanakimbizwa. Anatoka wanaume kwa wanawake ukihesabu 9 unakuta unacheka tu, maana wanatoka wamevimba kisura kukaa watu wengi oxygen inakuwa ndogo asubuhi wanatoka kama maputo [emoji1787]
[emoji1787] [emoji1787]
Ww unatucheksha...sasa oxygen inahusiana vp na kuvimba jmaniiii
 
Duuh,hili swala la wanaume kuto kuoa lina kuuma sana inaonekana.

Kwanza hata picha haihusiani na swala la kuoa kabisa.

Maana kuna wanaume humo wamelala na wanawake.

-Aliye toa wazo la watu wako kwenye Interview wame organize kuchukua eneo moja kujiegesha kidogo Ina make sense.

-Q net gang maana wanajikuta Wana maisha,Wakati Kwa uhalisia wao hawana maisha.

-Wakimbizi,inaweza ku make sense at least.Maybe walikimbia kwa pamoja wakapata kichumba wakaamua kuliendeleza

- Wafanyakazi wa boss,Boss kawaweka hapo.Pakikucha kazi inaendelea.



Lakini siyo swala la kuoa[emoji16],Hata picha haiendani kabisa.

Swala la kuoa hata bible imeandika Kwa kipindi hiki na kijacho mwanaume atakuwa kama dhahabu akigombaniwa na wanawake wengi.Wala usiumize kichwa[emoji16]
😂😂 maelezo yangu juu na picha ulipoizoom umeelewaje au kidhungu shida?



anyway kulingana na coment yako nyie wavua samaki nawataarifu tu uku ndoa kila wikiendi adi vyakula vinapanda bei asubuhi na jioni.
 
Umejuaje kama ni wao au hisia zako tu maana naona Kuna mwanaume kalala na mwanamke pembeni
maelezo yangu na pc hujayaelewa nikusaidie tu somacoment ya venossah juu itakusaidia walau
 
Ww unatucheksha...sasa oxygen inahusiana vp na kuvimba jmaniiii
Nakupa mtihan kidogo kaa ndani siku nzima funga mkanda nenda kazurure lisaa utaona nguo inavuka. Mda mwingine ukikaa ndani sana mwili unavimba. Nilikuwa nawaza oxygen ikiwa ndogo ndio inapelekea mwili kuvimba vimba. .
 
halafu mnajua kila kitu, dunia hii kuhusu mwanamke, na mnapesa chafu balaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kwenye kujua kila kitu kuhusu wanawake na wenye pesa chafu hapo umetia chumvi

Kuwa hit and run sio lazima uwe tajiri
 
maelezo yangu na pc hujayaelewa nikusaidie tu somacoment ya venossah juu itakusaidia walau
Polee sana Kwa swahibu linalo kuzonga moyoni.

Hiyo comment ya Venossah.Venossha hajui hiyo ni Moja ya njia ya ku generate heat Kwa ajiri ya baridi ndo maana.

Picha Haina uhusiano wowote na swala la kuoa [emoji16] maana Kuna wanawake pia humo.
 
Back
Top Bottom