Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaaa. Nimecheka sana.

Walio wengi watapita kimya kimya. Ila wanaume muwe mnapiga jamani pale mnapoomba namba na mkafanikiwa kupewa
Busy sana mama!!
Kuna namba ninazo humu hata siwakumbuki ni akina nani.

Siombi tena

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Busy sana mama!!
Kuna namba ninazo humu hata siwakumbuki ni akina nani.

Siombi tena

Sent From Ikulu-Magogoni street
Nipo mangi. Mie mzima wa afya kabisa.

Hahahaaaa. Bora usiombe tena kama ndio hivyo. Lakini ujue umewaacha na maswali hawaelewi kwa nini umeomba namba lakini hujawapigia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol! Umeeleweka sana tu. lakini huchoki kukimbia Emmy? [emoji4][emoji4][emoji4]

Haya wasalimie hao warembo mtaani kwenu waambie yule mkorofi na mpenda muziki BAK wa JamiiForums anawasalimia sana nawapenda pia. [emoji1419][emoji1419][emoji1419]


[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

BAK yatakuwa hayo hayo wala hujakosea. [emoji85]

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ulikuwa uzi wa kule siasani Mkuu. Jamaa baada ya kukosa hoja ya nguvu akaamua kunitusi. Nikaamua kumtolea uvivu na kumpa za uso. Akaamua kukimbilia kwa MODS kwenda kushtaki na mods badala ya kuuliza/kuangalia nani alianza kurusha matusi wakanipa kifungo.

Swahiba ilikuwaje?? Nliona cheo chako kimebadilika ghafla toka Expert Member mpaka "Banned"

Au yale majaa yalikuudhi ukayapa za uso?
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Na mwili wangu huu hata sichoki kukimbia kwa kweli. Zimefika salamu karibu tena na wao wanakupenda pia.

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Reactions: BAK
Ndo kawaida yao... wao wanamsikiliza aliyeripoti bila kuangalia aliyeanzisha ugomvi...

Uzuri ni kwamba hawakupunguzii uzito wala afya...

Maisha yanasonga mbele...
 
ukiona manyoya.....
 
Ni pm namba yako nitapiga mi huwa siachi kupiga.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…