MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Una mkojo wa kutosha??
Shauri zako...
ahahhaaa kuna mikojo miwili....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mkojo wa kutosha??
Shauri zako...
Bila kumsahau na MBITIYAZA! Ila subiri baadae kidogo nakupigia nipo kwenye jamn hapa Morocco[emoji3] [emoji3]hahahhahahaa km nakuona ukiwaona kina mwajuma ndala ndefu !hahahaha uwiii
Busy sana mama!!Hahaaaa. Nimecheka sana.
Walio wengi watapita kimya kimya. Ila wanaume muwe mnapiga jamani pale mnapoomba namba na mkafanikiwa kupewa
Anhaaa.... basi ntakupima yote.ahahhaaa kuna mikojo miwili....
Nipo mangi. Mie mzima wa afya kabisa.Busy sana mama!!
Kuna namba ninazo humu hata siwakumbuki ni akina nani.
Siombi tena
Sent From Ikulu-Magogoni street
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
BAK yatakuwa hayo hayo wala hujakosea. [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Swahiba ilikuwaje?? Nliona cheo chako kimebadilika ghafla toka Expert Member mpaka "Banned"
Au yale majaa yalikuudhi ukayapa za uso?
Lakini unajua nyie huwa mnaomba kisha mnasave haoo mnaondoka.
Kwa hiyo namba zenu tunakua hatuna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol! Umeeleweka sana tu. lakini huchoki kukimbia Emmy? [emoji4][emoji4][emoji4]
Haya wasalimie hao warembo mtaani kwenu waambie yule mkorofi na mpenda muziki BAK wa JamiiForums anawasalimia sana nawapenda pia. [emoji1419][emoji1419][emoji1419]
Ndo kawaida yao... wao wanamsikiliza aliyeripoti bila kuangalia aliyeanzisha ugomvi...Ulikuwa uzi wa kule siasani Mkuu. Jamaa baada ya kukosa hoja ya nguvu akaamua kunitusi. Nikaamua kumtolea uvivu na kumpa za uso. Akaamua kukimbilia kwa MODS kwenda kushtaki na mods badala ya kuuliza/kuangalia nani alianza kurusha matusi wakanipa kifungo.
Hahaha sina pesa ila ntaweza kumhandleeUna hela lakini?
Huyu akikupm usimpigie mtumie tu hela akiona sms ya Mpesa atakupigia mwenyewe.
ukiona manyoya.....mie huwa naona kero! kuna sk mkaka mmoja akaishiwa 500 akaniambia mbiti ongezea hapa (hapo tupo kwa daladala wanachuo) !heee fika hotelini aliuliza bei ya koka na pepsi! nilipomaliza kunywa soda huyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
washaharibiwa na stori za bibi kizee mmoja iv anajiita cc lara 1MAG ndo nn?
Ni pm namba yako nitapiga mi huwa siachi kupiga.Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
![]()
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]