Kwa watoa nambaKwa wapokea namba au watoa namba?
Pls unaweza ukanipa namba yako ya simu?Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Kuringa na nyodo tofauti kidogo..hahahah duh !mie mbiti nna nnyodo?? hahaha sijawah ambiwa kuwa naringa aiseee !we ndo wa kwanza !qasante
Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Kuringa na nyodo tofauti kidogo..
.nyodo iko karibu zaidi na mbwembwe
Vipi kijana alisha-settle ile school fees? [emoji16][emoji16][emoji16]
Atakua baada ya kukuomba namba yako alikutana na mchungaji akaokoka
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha siringi bwana we naringa nn sasa ! uzi gan nimeonesha kuringa ? haahhaa jaman ! bas mie kila mtu anaenifaham paap huwa ananiambia mbiti ni talkative !bas naongeza na lako kuwa naringa !
yes school fees baba wa kufikia nanyupu atanitumia kwa acc leo !
Embu tupigieni cm muache sababu za kitoto, ukipewa namba piga cm [emoji6]Vp na nyie mnapopigiwa na namba geni maswali yenu hatuyapendi "nani kakupa namba yangu"
Naomba namba nikupigieEmbu tupigieni cm muache sababu za kitoto, ukipewa namba piga cm [emoji6]
AiseeHahaaaa. Nimecheka sana.
Walio wengi watapita kimya kimya. Ila wanaume muwe mnapiga jamani pale mnapoomba namba na mkafanikiwa kupewa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Ntumie pm nkupigie sasa hvEmbu tupigieni cm muache sababu za kitoto, ukipewa namba piga cm [emoji6]