Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Nikikuomba namba dont expect a call as soon as you think/want. Hata mwaka
 
Unaangalia na mtu mwenyewe aliyekupa namba maana unaweza kukuta baada ya kupiga simu tu ukageuzwa baba mzazi ,ila kwangu mie napiga tu tena immediately !
 
Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.

Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.

Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"

Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.

Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.

Please remember to call back.

4b015155e1b3215f74aacab08cf5c8a8.jpg

Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Pls unaweza ukanipa namba yako ya simu?
 
hahahah duh !mie mbiti nna nnyodo?? hahaha sijawah ambiwa kuwa naringa aiseee !we ndo wa kwanza !qasante
Kuringa na nyodo tofauti kidogo..
.nyodo iko karibu zaidi na mbwembwe
Vipi kijana alisha-settle ile school fees? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.

Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.

Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"

Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.

Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.

Please remember to call back.

4b015155e1b3215f74aacab08cf5c8a8.jpg

Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]

Nitumie pm nikupigie mie sinaga hizo tabia.........
 
Kuringa na nyodo tofauti kidogo..
.nyodo iko karibu zaidi na mbwembwe
Vipi kijana alisha-settle ile school fees? [emoji16][emoji16][emoji16]

hahaha siringi bwana we naringa nn sasa ! uzi gan nimeonesha kuringa ? haahhaa jaman ! bas mie kila mtu anaenifaham paap huwa ananiambia mbiti ni talkative !bas naongeza na lako kuwa naringa !

yes school fees baba wa kufikia nanyupu atanitumia kwa acc leo !
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom