Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

mi sijuia kwanini sijawahi kuwatamani hawa wadada wa kazi sijui kwa nini yani ntakua na matatizo mimi wakuu au.. halaf ni wa hapo singidani yani watoto wazuri aisee lakin kwenye swala la hisia siinaga kabisa au mama tonny kanifanyia nini sijui
POle. Na nakushauri usilogwe kuanzakupiga beki 3,ukianza hutoacha.
Ni kama ka-ulevi fulani hivi.
 
Ukiwa na beki tatu nyumban unajihakikishia kyuma ya uhakika any time


Ila sasa mkeee...... Matatiz tyy samtime akikupa Leo unaogopa kesho utamuombaje kwa mahana utaskia " we mwanamme uridhiki si nilikupa Jana au unazani Nina kyuma ya mazoezi
ya mazoezi eehhhh.?
Unamshiti, unhamia kwa beki tatu.
yeye abaki nayo mpaka hapo itakapokuwa ni professional
 
mkuu inakera sana, unatoka kazini mwenyewe umejipanga leo naenda kupiga show...usiku ukiingia unaambiwa nimechoka tulale kdg ntakuamsha baadae au asubuh...wakt mm nataka sas, shida atake yeye sas hata kama umechoka atakusumbua hadi uliamshe,acheni ubinafsi
 
Maana wanaume huwa tunachepuka si kwamba tunawachukia wake zetu. Km mm mke wangu nampenda sana tu ila nachepuka kumsaidia kumpunguzia matatizo ya mgegedo kila siku
Hahaaa duuh!! Nimecheka sana
 
Baki tatu wanakuwa wapweke sana. Hàna muda wa kutoka kwenda kwenye mambo yale sasa huamua kuomba msaada kwa baba mwenye nyumba.
 
Hamna,ma house girl wana heshima sana,hata ukimuoa hawezi akakupindishia mdomo kama hawa wanawake wengine wakishaolewa wanajisahau kabisa wenyewe wanasema wameshatoa mkosi
Usijidanganye ukimuoa tu naye anatafuta msaidizi kama kazi aliokuwa nayo tena huwa wabaya kishinda maelezo kama hujaoa mchukue au kama unauwezo wakuwa nao wawili chukua
 
Sisi huwa hatuangalii hadhi ya beki tatu,tunaangalia papuchi tu,nyie mnaangalia hadhi ya mwanaume
Ndiyo siku ukimuona kitozi mwenzio unalilia tumboni, uwahi mtu anamfumania mkewe na kudundwa juu [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Abraham ndio alianzisha tabia ya kula beki tatu mpaka leo imekuwa kawaida kabisa mimi mwenyewe ni muhanga wa hayo mambo..
 
Mbona beki tatu hawana hayo malalamiko yenu
Yeye huyo si mmewe alizike asilizike hakuna shida lakini mke anakuona wewe ndiyo kila kitu sasa akiridhishwe wapi?,kwanza beki tatu hata muda wakujiandaa mnakuwaga nao si kama tu jogoo wanavyokimbizaga vile vikuku vidogo,
 
mi sijuia kwanini sijawahi kuwatamani hawa wadada wa kazi sijui kwa nini yani ntakua na matatizo mimi wakuu au.. halaf ni wa hapo singidani yani watoto wazuri aisee lakin kwenye swala la hisia siinaga kabisa au mama tonny kanifanyia nini sijui
Hahahaaaaa
 
Unajua sababu za mmeo kuchepuka?
Ni ujinga tu hakuna kingine utakuta huko kwao ndugu zake ni matembele na kisamvu mpaka masufuria yanabadilika rangi yeye huku kutembeza tumjusi
 
Orodha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…