Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
POle. Na nakushauri usilogwe kuanzakupiga beki 3,ukianza hutoacha.mi sijuia kwanini sijawahi kuwatamani hawa wadada wa kazi sijui kwa nini yani ntakua na matatizo mimi wakuu au.. halaf ni wa hapo singidani yani watoto wazuri aisee lakin kwenye swala la hisia siinaga kabisa au mama tonny kanifanyia nini sijui
Ni kama ka-ulevi fulani hivi.