Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wajumbe tunawasoma kimyakimya..kila mtu anasema na nafsi yake...
 
Utawabambikia wapumbavu wachache ila sio kwa mwanaume kama mimi
Tena mnaojifanyaga wajanja ndiyo huwa wakwanza kubambikiwa chunguza sana wale malaya sanaaa chovya chovya hupata wanawake pasua vichwa mpaka unajiuliza huyu na ujanja wote huu kaota hili fenensi kweli [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ndiyo hapo sasa mama naye akijua watoto wanapata wajomba wakuwanunulia chips hatari, ukiwa kichwa lazima uongoze sasa nyie majukumu yenu mnayakimbia kiwiliwili kinaendesha familia poa tu
 
Hao walaaniwe tu. Mie mke anaenipenda na kunipa penzi bila kero sikawilii kumnunulia private jet kama ya mayweather akawatambie shoga zake.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa si mpaka ujue thamani yake wengine wanamfanya mke mjinga na mtumwa
 
Ukiwa mme mwambie sitaki dada anihudumie basi, mwambie hivyo siku dada kakuhudumia acha kula dada kaweka maji usioge wekwe mwenyewe ndani ya siku mbili atafanya mwenyewe sasa usipomwambia nani amwambie funguka tu
 
Haya bwana Extrovert
 
Kwahio justification ya shida ni kuninyima unyumba sio na kunipa anapojiskia. Mtu haumwi wala nini ila analeta utoto kwenye swala la msingi? Hio wala usitetee mjirekebishe tu aisee.
Ndiyo muulize maana yakuwa kiongozi si kuonyesha njia?
 
Mie sikufanyii ila timiza wajibu wako basi, mbona hapo hampaangaliii mmekomalia kisasi tu. Uvivu wako utam trigger mumeo aanze usaliti hata kama hakuwahi na hapendi!
Kutimiza ke tunatimiza kinachokuja ni pale ambapo hali yakibinadamu kwanini usikae chini, nikiwa binti mdogo japo sio sana dada warafiki yangu alikuwa anaongea nimemwabia mme wangu kuna hili linanitokea mme akawa anapuuzia ikafikia wakaanza nyimana, baba akaenda shitaki mke kuitwa akawambia nimemwambia kuna hali hii inanitokea lakini yeye yupo kama jiwe anataka starehe tu, baba akawekwa kitimoto umeambiwa basi fanyia kazi mambo yaende
 
Kuchepuka ruksa ila usifumwe,maana siwezi kulisha,nimekutolea Mali afu uchepuke nijue hapo unatembea tu,,hamu ya kumla mwanamke inakata kama kiu vile
Sasa si mpaka ujue , ukimtolea mahari ndiyo nini mbona wapo wanatoa mahari na kuoa hawaoi na mali hawadai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…