Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
SawaBeki 3 ni sawa na mke mdogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaBeki 3 ni sawa na mke mdogo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shoziniga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We jidanganye huyo labda huyo mumeo hana mbinu
Si ndiyo moto unawaka vizuri[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hapo ndo unatia petroli kwenye moto
Tena mnaojifanyaga wajanja ndiyo huwa wakwanza kubambikiwa chunguza sana wale malaya sanaaa chovya chovya hupata wanawake pasua vichwa mpaka unajiuliza huyu na ujanja wote huu kaota hili fenensi kweli [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Utawabambikia wapumbavu wachache ila sio kwa mwanaume kama mimi
Ndiyo hapo sasa mama naye akijua watoto wanapata wajomba wakuwanunulia chips hatari, ukiwa kichwa lazima uongoze sasa nyie majukumu yenu mnayakimbia kiwiliwili kinaendesha familia poa tuHamna cha lawama, kwanza hivyo si ndio inavyotakiwa iwe ila utakuta mke ukimwabia kabla ukifika unakuta kashavuta mdomo. Dizaini kama anakufanyia favour ila hukustahili vile. Kingine suprise ni nzuri zaidi kwanini uombe gemu kama unaomba visa ya marekani?
Kama unakuwa eveready beki3 wa nini, wala mzee hatokuwa na time nae.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa si mpaka ujue thamani yake wengine wanamfanya mke mjinga na mtumwaHao walaaniwe tu. Mie mke anaenipenda na kunipa penzi bila kero sikawilii kumnunulia private jet kama ya mayweather akawatambie shoga zake.
Ukiwa mme mwambie sitaki dada anihudumie basi, mwambie hivyo siku dada kakuhudumia acha kula dada kaweka maji usioge wekwe mwenyewe ndani ya siku mbili atafanya mwenyewe sasa usipomwambia nani amwambie funguka tuAcha kulalanika hovyo, sababu ni ninyi wanawake wenyewe mlioolewa. Mfana mimi binafsi, nikikurupuka ile kumi na mija kamiki, dadaa keshaamka na kuanza usafi, maji ya kuoga kashanitengea wife kalala, nimirudi jioni akiniona tu anatenga maji ya kuoga, wife pengine yupo jikoni au pengine pasipo na umuhimu kunizidi, chakula kikiwa tayari dadaa akinitengea na kunikaribisha juu, wife yeye huita tu mtoto, chukua chakula mpelekee babaa, nikimaliza kula, dada anatoa vyombo fasta na kuniletea maji ya kunywa na kunawa, wife yupo tu. Sasa najiuluza je huyu dadaa ndio akitakiwa kuwa wife? Mahaba yanajijenga mdogomdogo, hata kama ni kabaya lakini ile care yake inanivutia, inabidi nimlipe fadhila tu basi afurahi na yeye.
Haya bwana ExtrovertSasa sababu ya mume kuchepuka ni wewe kumpa papuchi kwa kipimo, ukijiskia unampa usipojiskia humjali unona potelea pote. Utaanzaje kumlaumu mme wa hivyo akitafta suluhu nje.
Mama zetu walikomalia hio sekta wakakaba vilivyo hata kama wazee wetu walichepuka ila haikuwa rahisi kama zama za sasa. Mke hakupi sababu ya kwenda nje yani unajikuta unatulia tuli.
Ila nyie kuendekeza tabia mbovu ndio mnawapa sababu wanaume kuchepuka halafu mnalalamika ikiwa hamtimizi wajibu wenu vizuri. To make it worse eti nawewe unachepuka ili umkomeshe mume! Seriously?!
Ndiyo muulize maana yakuwa kiongozi si kuonyesha njia?Kwahio justification ya shida ni kuninyima unyumba sio na kunipa anapojiskia. Mtu haumwi wala nini ila analeta utoto kwenye swala la msingi? Hio wala usitetee mjirekebishe tu aisee.
Mpaka ugundue lilishakuwa koloni la muda sanaWewe nakupa nafasi kaa nami penzini ila the moment umeanza chepuka ntakwambia ukweli tu mbona. Na ntajua tu hadi utabaki taya wazi
Kutimiza ke tunatimiza kinachokuja ni pale ambapo hali yakibinadamu kwanini usikae chini, nikiwa binti mdogo japo sio sana dada warafiki yangu alikuwa anaongea nimemwabia mme wangu kuna hili linanitokea mme akawa anapuuzia ikafikia wakaanza nyimana, baba akaenda shitaki mke kuitwa akawambia nimemwambia kuna hali hii inanitokea lakini yeye yupo kama jiwe anataka starehe tu, baba akawekwa kitimoto umeambiwa basi fanyia kazi mambo yaendeMie sikufanyii ila timiza wajibu wako basi, mbona hapo hampaangaliii mmekomalia kisasi tu. Uvivu wako utam trigger mumeo aanze usaliti hata kama hakuwahi na hapendi!
Tunaelewa sana basi tu mnatuzarauUtamuweka kitako sawa, je atabadilika kuwa vile unavyotaka???
Sio goi goi mkienda huko mnakutana na watafuta pesa si penziMmh huyo sio mwanaume sasa, ni goi goi hebu tutafutane nikuelekeze cha kufanya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiHamna cha taratibu hapa, kafe na madanga wako huko!
Ngoja nikutumieHuyo dada mpe namba zangu tufarijiane sasa
Hakuna kuomba divorce nikubanana tu umeshafikisha miaka zaidi 7 ------10 unaenda wapi sasaIla nashauri usichepukege bhana, ni heri ukaomba divorce ili uwe na uhuru wa kuruka na madanga jinsi utakavyo
Sasa si mpaka ujue , ukimtolea mahari ndiyo nini mbona wapo wanatoa mahari na kuoa hawaoi na mali hawadaiKuchepuka ruksa ila usifumwe,maana siwezi kulisha,nimekutolea Mali afu uchepuke nijue hapo unatembea tu,,hamu ya kumla mwanamke inakata kama kiu vile
Acha tu jamani warogwe tuNi wanaume tu wapumbavu wanaoweza Ku mudiss mtu aliyewazalia watoto acha tu michepuko iwaroge nakuwatia umaskini