Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Utawabambikia wapumbavu wachache ila sio kwa mwanaume kama mimi
Tena mnaojifanyaga wajanja ndiyo huwa wakwanza kubambikiwa chunguza sana wale malaya sanaaa chovya chovya hupata wanawake pasua vichwa mpaka unajiuliza huyu na ujanja wote huu kaota hili fenensi kweli [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hamna cha lawama, kwanza hivyo si ndio inavyotakiwa iwe ila utakuta mke ukimwabia kabla ukifika unakuta kashavuta mdomo. Dizaini kama anakufanyia favour ila hukustahili vile. Kingine suprise ni nzuri zaidi kwanini uombe gemu kama unaomba visa ya marekani?
Kama unakuwa eveready beki3 wa nini, wala mzee hatokuwa na time nae.
Ndiyo hapo sasa mama naye akijua watoto wanapata wajomba wakuwanunulia chips hatari, ukiwa kichwa lazima uongoze sasa nyie majukumu yenu mnayakimbia kiwiliwili kinaendesha familia poa tu
 
Hao walaaniwe tu. Mie mke anaenipenda na kunipa penzi bila kero sikawilii kumnunulia private jet kama ya mayweather akawatambie shoga zake.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa si mpaka ujue thamani yake wengine wanamfanya mke mjinga na mtumwa
 
Acha kulalanika hovyo, sababu ni ninyi wanawake wenyewe mlioolewa. Mfana mimi binafsi, nikikurupuka ile kumi na mija kamiki, dadaa keshaamka na kuanza usafi, maji ya kuoga kashanitengea wife kalala, nimirudi jioni akiniona tu anatenga maji ya kuoga, wife pengine yupo jikoni au pengine pasipo na umuhimu kunizidi, chakula kikiwa tayari dadaa akinitengea na kunikaribisha juu, wife yeye huita tu mtoto, chukua chakula mpelekee babaa, nikimaliza kula, dada anatoa vyombo fasta na kuniletea maji ya kunywa na kunawa, wife yupo tu. Sasa najiuluza je huyu dadaa ndio akitakiwa kuwa wife? Mahaba yanajijenga mdogomdogo, hata kama ni kabaya lakini ile care yake inanivutia, inabidi nimlipe fadhila tu basi afurahi na yeye.
Ukiwa mme mwambie sitaki dada anihudumie basi, mwambie hivyo siku dada kakuhudumia acha kula dada kaweka maji usioge wekwe mwenyewe ndani ya siku mbili atafanya mwenyewe sasa usipomwambia nani amwambie funguka tu
 
Sasa sababu ya mume kuchepuka ni wewe kumpa papuchi kwa kipimo, ukijiskia unampa usipojiskia humjali unona potelea pote. Utaanzaje kumlaumu mme wa hivyo akitafta suluhu nje.

Mama zetu walikomalia hio sekta wakakaba vilivyo hata kama wazee wetu walichepuka ila haikuwa rahisi kama zama za sasa. Mke hakupi sababu ya kwenda nje yani unajikuta unatulia tuli.

Ila nyie kuendekeza tabia mbovu ndio mnawapa sababu wanaume kuchepuka halafu mnalalamika ikiwa hamtimizi wajibu wenu vizuri. To make it worse eti nawewe unachepuka ili umkomeshe mume! Seriously?!
Haya bwana Extrovert
 
Kwahio justification ya shida ni kuninyima unyumba sio na kunipa anapojiskia. Mtu haumwi wala nini ila analeta utoto kwenye swala la msingi? Hio wala usitetee mjirekebishe tu aisee.
Ndiyo muulize maana yakuwa kiongozi si kuonyesha njia?
 
Mie sikufanyii ila timiza wajibu wako basi, mbona hapo hampaangaliii mmekomalia kisasi tu. Uvivu wako utam trigger mumeo aanze usaliti hata kama hakuwahi na hapendi!
Kutimiza ke tunatimiza kinachokuja ni pale ambapo hali yakibinadamu kwanini usikae chini, nikiwa binti mdogo japo sio sana dada warafiki yangu alikuwa anaongea nimemwabia mme wangu kuna hili linanitokea mme akawa anapuuzia ikafikia wakaanza nyimana, baba akaenda shitaki mke kuitwa akawambia nimemwambia kuna hali hii inanitokea lakini yeye yupo kama jiwe anataka starehe tu, baba akawekwa kitimoto umeambiwa basi fanyia kazi mambo yaende
 
Kuchepuka ruksa ila usifumwe,maana siwezi kulisha,nimekutolea Mali afu uchepuke nijue hapo unatembea tu,,hamu ya kumla mwanamke inakata kama kiu vile
Sasa si mpaka ujue , ukimtolea mahari ndiyo nini mbona wapo wanatoa mahari na kuoa hawaoi na mali hawadai
 
Back
Top Bottom