Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Kuna wanaume wana pewa equal treatment kujaliwa lakini ndo michepuko haiishi so kuchepuka ni umalaya tu hauhisiani na kujaliwa mapenzi hujengwa na wawili mi nikipata watoto kwa kweli mwanaume chepuka utakavyo utajiju babu eeeh
Hapo ndo mnapokosea,kwasababu una nguvu kubwa tu ya kumcontrol mume wako
 
Halafu hamjuagi kama mwanamke halizishwi hupoteza hamu yakufanya tendo la ndoa, jeuri lazima ubongo hujijenga hata kama akinipanda ni yaleyale hakuna jipya vifo vya mende tu ndivyo mnaongoza na mabeki 3 wenu
Mbona beki tatu hawana hayo malalamiko yenu
 
Sasa cariha mie nshakwambia kwamba nikihitaji naomba kusiwe na excuses hali hii inaniboa unatoa gemu week moja ikiisha umeshasahau unaanza tena vikwazo ssa huko kurekebishana itakuwa hadi lini?

Mume kuchepuka sio kama anapenda yani ila mazingira ndio yanaforce. Mwanaume nimeona michirizi ya utamu ukiwa ndani ya kanga nishatamani tayari nimetaka huduma unakuta mtu anakukatili. Oh, si usubiri mpaka usiku bhana ntakupa we huoni ndio naenda kazini sahivi.
Ndo wanaookosea hapo
 
Hahaha umenikumbusha niliwahi ujua mchepuko wa Mr nilikua nakwambia ahakikishe anamchuna vizuri na yule binti alikua makini alikua anaomba ela hadi Mr akawa anatamani kabisa kusema lakin ataanzaje kuniambia na mim nlikua namwangalia tu ila sjui aliona matumizi yamezidi naona Mr akamwacha huyu bint
Unajua sababu za mmeo kuchepuka?
 
Sasa unakuta mwanamke hutaki kuguswa kila sehemu, kunyonywa titi hutaki, kupapaswa hutaki, utasiki "usinuguse huko, titi zinauma, fanya haraka mie nilale nk..." halafu unataka uandaliwaje? ....
Halafu unakuwa kama gogo tu kitandani! Mwanamume anahangaika peke yake, mwanamke hata kushtuka hakuna. Mwanamume anavumilia wee mwishowe anaona upuuzi huu, hatimaye anatafuta alternative.

Mbona beki 3 ukimgusa tu, tayari kashakukumbatia na mambo mengine yanaendelea na hakuwekei mipaka?

Wanawake jirekebisheni ikiwezekana muitane mpeane semina. Maana wanawake wa dot com hata unyago humpitii. Sijui hata kwenye kitchen party huwa mnafundishwa nini?
Yaani wanazubaa kweli wanazidiwa akili na vibeki tatu vya kijijini
 
Hilo neno wake wanachukua wenye hadhi si kila siku wanakutana huko mtu anajiuliza yule bwege nyumbani ananisumbuq wakati huku anakutana na watu wamaana lenyewe midevu uso mzima hata mapenzi halijui tu kutwa usumbufu pesa yenyewe shida kwanini usinyimwe, mwanaume mwenye akili hawezi msifia beki 3 kuliko mkewe
Sasa kwa nini ulikubali akuoe?
 
Nini % zote hata zero simuamini mtu anaitwa mwanaume analala na papuch usiku Kucha anaamka anazua safari kumbe anaenda hoteli kugegeda papuch tena looh naanzaje kumuamini mwanaume
Lakini kuna sababu imemfanya achepuke
 
Ni bora mwenye hadhi anayejua kujali na kukojoza ni bora tu umpe yote akukojoze vzuri, ujue mwanamke anayejiheshimu hawezi toka na beki Tatu tena anajisifia ka si mjinga ni nini jamani eeeh bora tu umpe mwingine mwenye kujali mnaweza hata safiri naye nakula raha tena waweza kumpa hata ka zawadi ka mtoto huyo mume bwege aendelee na beki Tatu maana ndo hadhi yake
Sisi hatuangalii hadhi,papuchi ya housegirl wa darasa la saba inaweza kuwa tamu kuliko ya wewe msomi wa masters,nyie mnaangalia sijui mwanaume awe ana hela sisi hatuangalii hadhi
 
Wewe unaona response zero maana hujui una muandaaje tena ukute una mubaka yeye ana muwaza mchepuko wake anaye mkojoza, hafu wanaume niwapeni siri ili mwanamke akuheshimu nakukupenda mkojoze sio kuchomeka na gumu. Sasa ukiona hivo naye anakipoozeo kinachomfikisha kileleni wewe endelea na beki Tatu
Gumu ndo nini?
 
Hawa viumbe ni watamu duuh. Nakumbuka kuna beki tatu aliletwa hom ikawa mama anamfokea sana. Mi nilikuwa karibu nae sana. Alikuwa na machozi ya karibu akifokewa tuu analia hadi kushindwa kula. Nilichukua jukumu la kumliwaza kila akiwa na huzuni na yeye akawa karibu na mimi siku akiwa anafua ananiambia kama nna nguo chafu nimpe anifulie. Aloooo siku narudi kutoka chuo nakuta kakaa anaangalia tv kavaa kanga tuu, pale ameona na mimi jicho dk moja kwa tv dk 3 kwake si akajipindua. Nilimnyoosha vilivyo na mpaka sasa sijawahi kula mbunye tamu kama ile. Sahv naambiwa alishaolewa ana mtoto mmoja
Alikuwa wa iringa nini?
 
Sasa hapo siunaanza kumpeti peti mbali hafu ujue mama akiwa na mtoto huchoka nakumsaidia kunahtaji sasa nyie huwa hamjali mi mwanaume akiniheshimu na mweshimu ila akijifanya anaendekeza ngono kwa kuchepuka ndo ameharibu maana actions zangu zaweza kumvuruga kabisa mana nitakuwa cjali,
Kwa nini mwanaume asikuheshimu?
 
Mwanaume akianza kuchepuka you will notice tu maana sisi ka walezi tunajua anaanza kujishtukia na tukishajua mapenzi yanakufa automatic na vile sisi huwa hatusemagi ka wanaume sasa ukikutana na danga linalojali wala hujisumbua mana kashakutoa ugwsndu wako na vile sisi tuki date na watofauti na mume huwa tunakusahau wewe wa ndoa nakujali kunaisha, sasa wenzetu wao ni kutangaza tu
We jidanganye huyo labda huyo mumeo hana mbinu
 
Halafu wasivo na akili ana mlaumu mkewe aliye mzalia watoto, kulea tu ni kazi yeye anahangaika na Malaya hafu anajiona mjanja, dawa ya hawa viumbe ni kutafta kipoozeo tu nakumuonyeshea actions
Hapo ndo unatia petroli kwenye moto
 
Ndo na mwanamke usipokuwa na akili unaweza angamiza familia huna unachofanya ndo mana siku hizi hzi tabia zinafanya wanawake wafanye mambo yao kisiri siri kwa ajili ya watoto hata miradi acjue maana ukiendekeza watoto.hawaezi kuwa na future mama usiposimama, kuna mama mumewe alikuwa tajiri lakini michepuko ikafanya maendekeo yao yakawa duni mama naye wakawa wanashindana na michepuko kwa waganga mwishowe mwanaume akafa familia haina mbele wala nyuma, basi huyo mama huwa ananihusia ni fight tu vyovyote kwa ajili ya watoto, hafu huyo mume alivougua mchepuko ukamkimbia mke mkubwa ndo akamuuguza huku akiwa anajiharishia tu. Mi mwanaume anayeendekeza starehe bila kuweka familia mbele ni waku muignore tu aisee.
Kwani una wanaume wangapi
 
Back
Top Bottom