Sasa unakuta mwanamke hutaki kuguswa kila sehemu, kunyonywa titi hutaki, kupapaswa hutaki, utasiki "usinuguse huko, titi zinauma, fanya haraka mie nilale nk..." halafu unataka uandaliwaje? ....
Halafu unakuwa kama gogo tu kitandani! Mwanamume anahangaika peke yake, mwanamke hata kushtuka hakuna. Mwanamume anavumilia wee mwishowe anaona upuuzi huu, hatimaye anatafuta alternative.
Mbona beki 3 ukimgusa tu, tayari kashakukumbatia na mambo mengine yanaendelea na hakuwekei mipaka?
Wanawake jirekebisheni ikiwezekana muitane mpeane semina. Maana wanawake wa dot com hata unyago humpitii. Sijui hata kwenye kitchen party huwa mnafundishwa nini?