Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Daaahhh nakumbuka mwaka 2014..wife alisusa nyumba akapanda gari kwenda kwao na mtoto... Hahahha hayakupita hata masaa 2 Dada wakazi nikamuhamishia chumbani kwangu... Huyu bint sijui yupo wapi kwasasa... Alikuwa Mrembo haswa na mwenye huruma... Wife angeendelea na kisirani ningejimilikisha Yule bint
Mnaoa wake wa ajabu kweli nigombane na mme kisha nimuache beki 3 nyumbani? Halafu nawe unamwingiza chumba cha wewe na mkeo duu mlikutana kweli hakuna wakusimama kumuongoza mwingine
 
Wanaume wengi ni wabakaji ndoani hawajui mapenzi nyie kuchomeka tu nakutoa ila mkijua jinsi yakutukojoza heshima lazima iongezeke Mara dufu ila nyie huwa mnatuchafua tu, mwanaume machine
Ushawahi kujiuliza kwa nini mchepuko anakojozwa mara tano, ila mwanamke mkeo asikojoe
 
Beki 3 anapata huduma zote pale nyimbani za matibabu,chakula,maradhi,na posho juu ya kula mwezi, kwa hiyo in muhimu kumuongezea huduma ya tendo ili uwe unakula ulichopanda,
 
Iyo suna kama mim apa kila akija waziri wa mambp ya ndani lazima mimle tunabadilisha ladha
 
Kweli kabisa nimearibu kila kitu
Pole sana, jaribu kila siku kusawazisha inaumiza sana ikiwa unamwamini mtu halafu doa likaingia au
kitumbua kikaingia mchanga kusafisha mchanga ukaisha ni ngumu sanaà, jitahidi tu
 
Hizo ndiyo akili sasa miaka 3 mnaishi uke wenza usijue si anaweza akazaa mtoto akatunzwa humo humo usijue akamtaja mkaka asiyekuwepo ukamtunza kumbe niwa mmeo, mwenye akili hata dalili utajua tu unatibua
Ilitokea kwa housegirl wa uncle. Uncle katia mimba akabambikwa mtu flani ila Ukweli ni mtoto ni wa uncle na ukoo Wote unajua kasoro shangazi tu. Siku akijua yule mdada hapatakalika
 
Ilitokea kwa housegirl wa uncle. Uncle katia mimba akabambikwa mtu flani ila Ukweli ni mtoto ni wa uncle na ukoo Wote unajua kasoro shangazi tu. Siku akijua yule mdada hapatakalika
Kwa hiyo huyo aliyebambikiwa naye ni sehemu ya mpango (amesomeshwa) au hajui chochote?
 
Kwa hiyo huyo aliyebambikiwa naye ni sehemu ya mpango (amesomeshwa) au hajui chochote?
Hajui chochote na ana mke wake.. ameapa Miungu yote kwamba hakuwahi hata kumtongoza. Katoto sasa kana miaka kama minne plus ...mjomba anahudumia kisiri mke asigundue.
 
Na ukishaona mwanaume anakuwa so concerned na mabeki tatu tena anamtetea mbele ya mazahous basi lazima mwanamke akili zikucheze. Mme mwenye Hekima zake atakushauri chemba hukooo kama unamtreat vibaya beki au kama kuna maboresho.
 
Hajui chochote na ana mke wake.. ameapa Miungu yote kwamba hakuwahi hata kumtongoza. Katoto sasa kana miaka kama minne plus ...mjomba anahudumia kisiri mke asigundue.
Sasa hapo Unle akidanja (Mungu aepushie mbali) mtoto ndio atakuwa muhanga.

Ni bora Mama ahakikishe haki za mwanae zipo kwa ajili ya leo na kesho.
 
Back
Top Bottom