Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Mnaoa wake wa ajabu kweli nigombane na mme kisha nimuache beki 3 nyumbani? Halafu nawe unamwingiza chumba cha wewe na mkeo duu mlikutana kweli hakuna wakusimama kumuongoza mwingineDaaahhh nakumbuka mwaka 2014..wife alisusa nyumba akapanda gari kwenda kwao na mtoto... Hahahha hayakupita hata masaa 2 Dada wakazi nikamuhamishia chumbani kwangu... Huyu bint sijui yupo wapi kwasasa... Alikuwa Mrembo haswa na mwenye huruma... Wife angeendelea na kisirani ningejimilikisha Yule bint