Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu.

Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza wajibu wake kadri awezavyo.

Wanawake ni viumbe ambao ni very appreciative, wavumilivu sana. Ukiacha wanawake wanaojiuza, hadi mwanamke alie kwenye mahusiano aamue kuchepuka basi amevumilia mengi sana na ameongea mengi sana na hayajafanyiwa kazi na kwa akili ya wanawake atachujulia amedharaulika.

Turudi kwenye hoja, mimi binafsi najisikia vibaya kula wake za watu, wengine walikua wapenzi wangu kabla ya kuolewa, wengine tunakutana tu mitaani lakini nakua sina namna inanilazimu tu kuwala hivyo hivyo mara maana hakuna namna nyingine sasa(kwa sauti ya Pinda).

Pia tunapooa, tusiwachukulie hawaviumbe poa, usisahau kua ulimchukua kutoka kwa mtu mwingine, labda kama ulioa bikra.

Mwanaume hata kama unalewa basi usiipe pombe kipaumbele kuliko mwanamke, kuna bwege mmoja aliambiwa aache pombe anamwambia mke wake, bora niache mke kuliko pombe. Huyu tumemshikisha adabu, analea mtoto wa mtu kiroho safi tu. Lipo wazo aongezewe mtoto wa pili, na atapewa tu.

Huu ni ushauri wa bure tu kwa wanaume wenzangu, jitahidini kutimiza wajibu wenu hasa mlioko kwenye ndoa. Watu wengine hatujisikii vizuri kula wake zenu lakini inatulazimu, unakaa na mke mwezi, miezi 2 hujamtia, eti uko busy, unachoka, unalewa sana, mtatulelea sana watoto wetu.
Huyo mtu anayekaa mwezi mzima hajamtia mkewe ni mzima kweli au hana nguvu za kiume? Yaani nilale na mbususu kitanda kimoja then zipite siku 2 sijaila?
 
Wanaume wengi huwa mnapenda kazi sana na kujisahau kutenga mda wa kuwa na familia mnafikiri mkishampa mke pesa na msosi na kulipa ada inatosha
Kwani kuna nini tena cha ziada mnahitaji?
 
Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu.

Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza wajibu wake kadri awezavyo.

Wanawake ni viumbe ambao ni very appreciative, wavumilivu sana. Ukiacha wanawake wanaojiuza, hadi mwanamke alie kwenye mahusiano aamue kuchepuka basi amevumilia mengi sana na ameongea mengi sana na hayajafanyiwa kazi na kwa akili ya wanawake atachujulia amedharaulika.

Turudi kwenye hoja, mimi binafsi najisikia vibaya kula wake za watu, wengine walikua wapenzi wangu kabla ya kuolewa, wengine tunakutana tu mitaani lakini nakua sina namna inanilazimu tu kuwala hivyo hivyo mara maana hakuna namna nyingine sasa(kwa sauti ya Pinda).

Pia tunapooa, tusiwachukulie hawaviumbe poa, usisahau kua ulimchukua kutoka kwa mtu mwingine, labda kama ulioa bikra.

Mwanaume hata kama unalewa basi usiipe pombe kipaumbele kuliko mwanamke, kuna bwege mmoja aliambiwa aache pombe anamwambia mke wake, bora niache mke kuliko pombe. Huyu tumemshikisha adabu, analea mtoto wa mtu kiroho safi tu. Lipo wazo aongezewe mtoto wa pili, na atapewa tu.

Huu ni ushauri wa bure tu kwa wanaume wenzangu, jitahidini kutimiza wajibu wenu hasa mlioko kwenye ndoa. Watu wengine hatujisikii vizuri kula wake zenu lakini inatulazimu, unakaa na mke mwezi, miezi 2 hujamtia, eti uko busy, unachoka, unalewa sana, mtatulelea sana watoto wet
Hata wako analiwa wewe usijifanye unayajua mapenzi unakula wa wengine na wako analiwa na wengine usidhani unawakomoa
 
Wasiotaka kuwajibika watakuja kukunanga ila imepenya hii💊💉

Mwanaume kuwa kichwa cha familia ni mpango wa Mungu na mwanamume kutimiza wajibu wake ni utaratibu wa Mungu

Mungu awatunze wanaume na kuwabariki katika kutimiza majukumu yenu
🤣🤣🤣
 
Huyo mtu anayekaa mwezi mzima hajamtia mkewe ni mzima kweli au hana nguvu za kiume? Yaani nilale na mbususu kitanda kimoja then zipite siku 2 sijaila?
Unakuta anajisifia eti anakula wake za watu wakati na mke wake kuna sehem analiwa ni ujinga tu huo ukiiba na wewe unaibiwa malipo ni hapahapa
 
Sioni kosa akisaidia kumtoa hamu huyo dada, wanaume wengi huwa wanajifanyaga busy na kazi hata mda na mke hawana Sasa unategemea nini, na hivi sikuhizi wanaume Wana nguvu kiduchu za kiume ndio haswa wanawake watachepuka sana na watu wakuwaridhisha
Na wewe mme wako akiliwa hatutaona kosa unashabikia ujinga
 
Huyo mtu anayekaa mwezi mzima hajamtia mkewe ni mzima kweli au hana nguvu za kiume? Yaani nilale na mbususu kitanda kimoja then zipite siku 2 sijaila?
Umeoa mkuu? Na kama umeoa ndoa yako ina miaka mingapi?
 
Basi hapo unajiona mjanjaaa. Hakuna dhambi mbaya na yenye gharama, mikosi na nuksi maishani kama ya kula mke wa mtu. Sasa wewe furahia tu lakini utakuja kuona matokeo yake kwako mwenyewe, familia yako na watoto wako huko mbele ya safari.

Mfalme Daudi alijifanya mwamba lakini dhambi ile ilimtesa sana pamoja na familia yake - vifo, matoto kubakana, mengine yanauana na hata litoto limoja likaishia kuwa na wake 700 na michepuko 300. Alisamehewa dhambi yake ya kulala na kuzaa na mke wa mtu lakini madhara yake yaliendelea mpaka vizazi na vizazi.

Ndoa ni taasisi takatifu sana mbele ya Mungu. Usiiingilie! [emoji1545]
Nondo ya uhakika,, ndo kitu huwaambia lakini wanashupaza shingo. Usichukue nafasi ya kifo ktk agano la ndoa.
 
Back
Top Bottom