Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

Kwa sababu tunawapenda sana sasa kuwauzi na kuwaacha kisa hako ka tatizo it's not fair
Aaaah kuwapenda gani huko wkt mnawaanika humu kuwa hawawaridhishi hapo mtakuwa mnafanya maigizo tu ila ukweli ni kwamba mna mengi moyoni lkn mnaogopa kuwaeleza

Njoo upate raha ya dunia tunaishi mara moja tu, kumvumilia mtu ambaye unajua tatizo lake ni la kudumu, ni sawa na kusubili meli airport
 
Kuna wanaotumia muda kwa michepuko na kusahau wake zao......

Wacha wapigiwe tu!!!!
Wanaume wengi huwa mnapenda kazi sana na kujisahau kutenga mda wa kuwa na familia mnafikiri mkishampa mke pesa na msosi na kulipa ada inatosha
 
Swahiba mtu akioa mwanamke mwenye hulka ya umlaya hilo ni swala lingine, sababu mwanaume ndio muamuzi na muoaji.

Hapa Mtoa maada hajalenga kundi hilo ila amelenga wale wanaume waliojaliwa kuoa wanawake sahihi lakini hawatimizi majukumu ya mume kwa wake zao.

Wanaume kutunza wake zenu kitu muhimu mnoooo, sanaaaa. Heri kufanya wajibu wako kama mume ili akikucheat ujue ni wewe mwenyewe ulikosea kwenye kuchagua mke. Kuliko usimtunze maana utakua unamsukumia kwenye mazingira hatarishi

View attachment 1950292
Wanawake wote wanaoliwa nje ya ndoa zao,ni kwamba wanaume zao hawatimizi majukumu yao ndani ya ndoa zao?? Jibu ni hapana! Nina rafiki yangu,ni mtu mwenye pesa zake tu,na anatunza mke na watoto wake,kila kitu Mme wake anampa,likizo wanaenda nje kutembea,watoto wanasoma shule nzuri tu,ana nyumba nzuri yakuishi,nyingine za biashara,hadi wana hotel pale mkoani ............ Lakini mwanamke ni malaya balaa!

Hivi kama nikutimiza majukumu,kipi kimewatenganisha Bill Gates na Melinda??
 
Aaaah kuwapenda gani huko wkt mnawaanika humu kuwa hawawaridhishi hapo mtakuwa mnafanya maigizo tu ila ukweli ni kwamba mna mengi moyoni lkn mnaogopa kuwaeleza

Njoo upate raha ya dunia tunaishi mara moja tu, kumvumilia mtu ambaye unajua tatizo lake ni la kudumu, ni sawa na kusubili meli airport
Tunawapenda na kuwajali hatuwaachi ng'o hyo ya kusubiria meli airport imenifuraisha
 
Wanawake wote wanaoliwa nje ya ndoa zao,ni kwamba wanaume zao hawatimizi majukumu yao ndani ya ndoa zao?? Jibu ni hapana! Nina rafiki yangu,ni mtu mwenye pesa zake tu,na anatunza mke na watoto wake,kila kitu Mme wake anampa,likizo wanaenda nje kutembea,watoto wanasoma shule nzuri tu,ana nyumba nzuri yakuishi,nyingine za biashara,hadi wana hotel pale mkoani ............ Lakini mwanamke ni malaya balaa!

Hivi kama nikutimiza majukumu,kipi kimewatenganisha Bill Gates na Melinda??

Anayemchagua mwanamke wa kumuoa ni mwanaume mwenyewe. Sasa kama uchaguzi wako uliangukia kwa mwanamke unayemuita mal%ya inabidi uvumilie tuu hamna namna

Pesa na mali zinamsaidia mume kutimiza majukumu ila anayeoa ni mwanaume
Mwanaume wa kuweza kuongoza familia

Hilo la bilgate na melinda ndio likufundishe kwamba mwanamke anaolewa na mwanaume haolewi na vitu wala pesa
 
Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu.

Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza wajibu wake kadri awezavyo.

Wanawake ni viumbe ambao ni very appreciative, wavumilivu sana. Ukiacha wanawake wanaojiuza, hadi mwanamke alie kwenye mahusiano aamue kuchepuka basi amevumilia mengi sana na ameongea mengi sana na hayajafanyiwa kazi na kwa akili ya wanawake atachujulia amedharaulika.

Turudi kwenye hoja, mimi binafsi najisikia vibaya kula wake za watu, wengine walikua wapenzi wangu kabla ya kuolewa, wengine tunakutana tu mitaani lakini nakua sina namna inanilazimu tu kuwala hivyo hivyo mara maana hakuna namna nyingine sasa(kwa sauti ya Pinda).

Pia tunapooa, tusiwachukulie hawaviumbe poa, usisahau kua ulimchukua kutoka kwa mtu mwingine, labda kama ulioa bikra.

Mwanaume hata kama unalewa basi usiipe pombe kipaumbele kuliko mwanamke, kuna bwege mmoja aliambiwa aache pombe anamwambia mke wake, bora niache mke kuliko pombe. Huyu tumemshikisha adabu, analea mtoto wa mtu kiroho safi tu. Lipo wazo aongezewe mtoto wa pili, na atapewa tu.

Huu ni ushauri wa bure tu kwa wanaume wenzangu, jitahidini kutimiza wajibu wenu hasa mlioko kwenye ndoa. Watu wengine hatujisikii vizuri kula wake zenu lakini inatulazimu, unakaa na mke mwezi, miezi 2 hujamtia, eti uko busy, unachoka, unalewa sana, mtatulelea sana watoto wetu.
ACHA UZINZI.........ACHA!!
UTALIPA HILI MBELE ZA MUNGU.
ACHA....SI UJANJA HUU,NI DHAMBI....ACHA!!
 
Nyongeza.......

1. Hakikisheni mnawagegeda vyema wake zenu..... sio ndani kimoja cha sekunde 2 nguvu unamalizia nje.... utakuja kulaumu kuwa wanawake hata wapewe kila kitu watasaliti..

2. Tunza mkeo lasivyo waja watakutunzia

3. Tenga muda na mkeo....la sivyo utakuja laumu dunia

4. Heshimuni wake zenu...msiwadharau...micheps isiwape kiburi cha ujinga...wadekezeni wajalini ...kuna wanaume wanajua kudekeza wake zenu wakiangukia humo kwisha habari zenu

5. Heshimuni ndoa zenu... hata ukichepuka hakikisha mkeo hajui. Sio mnafanya umalaya hadi kwenye pua za wake zenu....kila shimo mnalitaka nyie.
Hawa wanawake Watasemehe mara moja mbili....wakiota usugu mtajuta...mtagongewa mpaka na "bodaboda" wenu!!!! Atakaa kwa ajili ya watoto ila Wenzio watajipigia mpaka wakimbie wenyewe

6. Toka na mkeo (kuna viumbe ukimuona kaongozana na mkewe ni msibani , site au shopping za watoto...... ngoja wanaojua kwenda viwanja na wake zenu wawapeleke

7. Acheni kujinunisha hovyo na ukali wa kijinga......kuna mwenzio anabembeleza...anabembeleza na anabembeleza tena....
[emoji1][emoji1][emoji1] kijana, Mungu alimtengeneza mwanamke mmoja tu aitwae eva na walikuwa wawili tu ulimwengu huu lakini bado eva alikwenda kumsikiliza nyoka,

Kumbuka hakukuwa na pesa,out,wala pombe kipindi hicho,

Mleta mada nikuhakikishie hao unaowachapa ni Malaya waliopata ndoa na endelea kuwachapa tu Braza wanawake smart huwezi kuwapata Kizembe hivo,
 
Huu uzi niliuona saa 11 alfajiri.

Nikaupita kwakua nilikua natakiwa nipige maombi nikahofia nitakuta ujumbe mbovu.

Mzee haujaandika huu uzi ile alfajiri ili kutupa habari jinsi ulivyo mwamba katika kutiana.

Umeandika muda ule kwakua guilty consciousness inakusumbua.

Hauko free na unajua kua hauko free.

Good luck.
Unaweza kuwa ni memba wa jf uliyewaza vizuri sana kwenye uzi huu.
 
tatzo hii kitu inaitwa NDOA mnaipa heshima kubwa sana asee
yani mimi nikijua mke wangu kaanza kutiwa nje huko sito subir kukusanya ushahid wala kuita wazee
yan asubuhi tu anakula left
 
Mkuu, Matendo unayoyafanya sasa huwa yatakuja kujirudia kwa vizazi vyako. Baba ukiwa mchepukaji na watoto watakuja kuwa kama wewe, hapo unajiandalia kizazi cha uchepukaji.

Miaka kumi iliyopita kuna mpangaji wetu aliwahi kufumaniwa anafanya mapenzi na Dada yake wa tumbo moja, mwezi uliopita nimekuja sikia mtoto wa yule jamaa nae anatuhumiwa kutembea na mdogo wake. Nikaja kukumbuka yale matukio ya Baba yao nikaunganisha dot.
Mwenyewe anakazia "Hata usemeje"

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wengi huwa mnapenda kazi sana na kujisahau kutenga mda wa kuwa na familia mnafikiri mkishampa mke pesa na msosi na kulipa ada inatosha
Sawa Dada tutafanya marekebisho
 
Wasiotaka kuwajibika watakuja kukunanga ila imepenya hii💊💉

Mwanaume kuwa kichwa cha familia ni mpango wa Mungu na mwanamume kutimiza wajibu wake ni utaratibu wa Mungu

Mungu awatunze wanaume na kuwabariki katika kutimiza majukumu yenu
Kweli mkuu
 
Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu.

Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza wajibu wake kadri awezavyo.

Wanawake ni viumbe ambao ni very appreciative, wavumilivu sana. Ukiacha wanawake wanaojiuza, hadi mwanamke alie kwenye mahusiano aamue kuchepuka basi amevumilia mengi sana na ameongea mengi sana na hayajafanyiwa kazi na kwa akili ya wanawake atachujulia amedharaulika.

Turudi kwenye hoja, mimi binafsi najisikia vibaya kula wake za watu, wengine walikua wapenzi wangu kabla ya kuolewa, wengine tunakutana tu mitaani lakini nakua sina namna inanilazimu tu kuwala hivyo hivyo mara maana hakuna namna nyingine sasa(kwa sauti ya Pinda).

Pia tunapooa, tusiwachukulie hawaviumbe poa, usisahau kua ulimchukua kutoka kwa mtu mwingine, labda kama ulioa bikra.

Mwanaume hata kama unalewa basi usiipe pombe kipaumbele kuliko mwanamke, kuna bwege mmoja aliambiwa aache pombe anamwambia mke wake, bora niache mke kuliko pombe. Huyu tumemshikisha adabu, analea mtoto wa mtu kiroho safi tu. Lipo wazo aongezewe mtoto wa pili, na atapewa tu.

Huu ni ushauri wa bure tu kwa wanaume wenzangu, jitahidini kutimiza wajibu wenu hasa mlioko kwenye ndoa. Watu wengine hatujisikii vizuri kula wake zenu lakini inatulazimu, unakaa na mke mwezi, miezi 2 hujamtia, eti uko busy, unachoka, unalewa sana, mtatulelea sana watoto wetu.
Inaonyesha hujaoa. Siku ukioa hata utimize vyote mke wako pia ataliwa tu. Hujawahi sikia mwanamke anapewa kila kitu with good sex lakini analiwa na muuza butcher kwa nyongeza ya utumbo au maini?

Unaweza mnunulia gari matata ya kutembelea na pesa ya mafuta lakini akinunuliwa na jamaa mafuta ya 20,000 tu analiwa.

Ila wapo wanaojiheshimu ni ngumu kuliwa hovyo. Kutimiziwa kila kitu sio kigezo cha kutoliwa utakuja kujipiga risasi. Enjoy life usifuatilie sana mambo ya mwanamke aliye kwenye himaya yako.
 
Kila mtu a play part yake sio Mimi mwanamke nijichoshe kumfuraisha mtu mzima mwenzangu never on earth hana nguvu za kiume Hilo ni tatizo lake na saikolojia yake siwezi kumsubiria mda wote huku nikifa na ugwadu wangu loh
Duuuuu.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kwani anapomkaza Huwa unashuhudia? Je kama anakojoa ndani ya dakika moja?
Wanawake wote wanaoliwa nje ya ndoa zao,ni kwamba wanaume zao hawatimizi majukumu yao ndani ya ndoa zao?? Jibu ni hapana! Nina rafiki yangu,ni mtu mwenye pesa zake tu,na anatunza mke na watoto wake,kila kitu Mme wake anampa,likizo wanaenda nje kutembea,watoto wanasoma shule nzuri tu,ana nyumba nzuri yakuishi,nyingine za biashara,hadi wana hotel pale mkoani ............ Lakini mwanamke ni malaya balaa!

Hivi kama nikutimiza majukumu,kipi kimewatenganisha Bill Gates na Melinda??
Huwa unash
 
Hoja yangu siyo heshima hoja yangu ni nyinyi kuwazulia UONGO watu hao. Uongo ambao huwezi kuutetea,sasa tofautisha nilichokiandika na unachojibu ni mbingu na ardhi.
Wamezuliwaje uongo? Au husomi biblia mkuu,nikwamba mfalme daudi alikua mzinifu Sana alizini na mke wa huria na mbaya zaidi akamuua mume wa huyo mama kwa kumuweka mbele ya vita ili ashambuliwe na adui na afe ,lakini pia watoto wa daudi yaani amnoni na Absalom waliingia mtafaluku baada ya amnoni kumlazimisha au kumbaka mke wa kaka yake Absalom na baada ya kutimidha adhma hiyo na miaka miwili baadae Absalom akamuua amnoni na pia Absalom akatata kupindua ufalme wa baba yake lakini baadae akachinjwa na jemedari mkuu wa mfalme daudi aliekua anaitwa yoabu mwana wa seluya na kusababisha majuto makubwa kwa mfalme daudi .Asante
 
Back
Top Bottom