Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

Nyongeza.......

1. Hakikisheni mnawagegeda vyema wake zenu..... sio ndani kimoja cha sekunde 2 nguvu unamalizia nje.... utakuja kulaumu kuwa wanawake hata wapewe kila kitu watasaliti..

2. Tunza mkeo lasivyo waja watakutunzia

3. Tenga muda na mkeo....la sivyo utakuja laumu dunia

4. Heshimuni wake zenu...msiwadharau...micheps isiwape kiburi cha ujinga...wadekezeni wajalini ...kuna wanaume wanajua kudekeza wake zenu wakiangukia humo kwisha habari zenu

5. Heshimuni ndoa zenu... hata ukichepuka hakikisha mkeo hajui. Sio mnafanya umalaya hadi kwenye pua za wake zenu....kila shimo mnalitaka nyie.
Hawa wanawake Watasemehe mara moja mbili....wakiota usugu mtajuta...mtagongewa mpaka na "bodaboda" wenu!!!! Atakaa kwa ajili ya watoto ila Wenzio watajipigia mpaka wakimbie wenyewe

6. Toka na mkeo (kuna viumbe ukimuona kaongozana na mkewe ni msibani , site au shopping za watoto...... ngoja wanaojua kwenda viwanja na wake zenu wawapeleke

7. Acheni kujinunisha hovyo na ukali wa kijinga......kuna mwenzio anabembeleza...anabembeleza na anabembeleza tena....
snowhite hakuna namna tunaweza fanya BT apate IST??!!! Sanamu haitoshi
 
Basi hapo unajiona mjanjaaa. Hakuna dhambi mbaya na yenye gharama, mikosi na nuksi maishani kama ya kula mke wa mtu. Sasa wewe furahia tu lakini utakuja kuona matokeo yake kwako mwenyewe, familia yako na watoto wako huko mbele ya safari.

Mfalme Daudi alijifanya mwamba lakini dhambi ile ilimtesa sana pamoja na familia yake - vifo, matoto kubakana, mengine yanauana na hata litoto limoja likaishia kuwa na wake 700 na michepuko 300. Alisamehewa dhambi yake ya kulala na kuzaa na mke wa mtu lakini madhara yake yaliendelea mpaka vizazi na vizazi.

Ndoa ni taasisi takatifu sana mbele ya Mungu. Usiiingilie! [emoji1545]
Agiza bia popote ulipo,papuchi za kuchakata ni nyingi sana mtaani ya nini kung'ang'ania bidhaa za watu? Inawezekana kubadilisha flavour kwa kuchakata mabinti, single mothers nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoteza muda kuamua kumridhisha mwanamke. Hata ww huyo mwanamke wako anaweza kuchepuka ukashangaa.

endelea kutembea na wake za watu na ww wa kwako akichukuliwa uje kusimulia
 
Sikuhizi Mwanaume kutimiza wajibu wake wala sio sababu kuu ya Mke kuonjwa.

Ukweli ni kwamba Wanawake Malaya ndio wanaoolewa sana kuliko wale watulivu.

Mfano mimi Binafsi; Kuna Binti alikuwa mpenzi wangu siku za nyuma, Kwa sasa yeye anafanya kazi Benki na ameolewa na Meneja wa Benki. Anapata mahitaji yote toka kwa Mume wake. Ila mara kwa mara ananitafuta niende nikapashe kiporo.
Nikimuuliza kwa nini hataki kutulia na mumewe, ananiambia kwa sababu mimi ndio nilimuingiza ukubwani kwa kutoa Bikra hivyo nina haki ya kuonjeshwa

Hivyo amehalalisha uchepukaji wake kwa sababu ambayo wala haina ulazima.
Kwa hiyo Mkuu unajipigia tu kiulaini......kavukavu........Dah.....
 
Inasikitisha sana...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mfalme Daudi alijifanya mwamba lakini dhambi ile ilimtesa sana pamoja na familia yake - vifo, matoto kubakana, mengine yanauana na hata litoto limoja likaishia kuwa na wake 700 na michepuko 300. Alisamehewa dhambi yake ya kulala na kuzaa na mke wa mtu lakini madhara yake yaliendelea mpaka vizazi na vizazi.
Hii mada nilipanga nisichangie chochote zaidi ya kusoma maoni ya wadau,ila hiki ulichokiandika,kimenifanya nivunje azma yangu.

Kuhusu ukubwa wa dhambi ya zinaa uko sahihi kabisa,sisi huwa tunasema "Zinaa" ni DENI.

Ila hapa kwa mitume na manabii umeandika uongo wa wazi,uongo ambao huwezi kuuteta wala kuuthibitisha. Sijui mnawachukulia vipi Mitume na Manabii wa Mola,na lini mtaacha kuwazulia Uongo waja hawa wa Mola ?

Ni hilo tu kwa muda huu.
 
Kwako huko katika Uislamu bila shaka mitume na manabii mnawaheshimu kupitiliza ndiyo maana wengine hata kutajwa tu majina yao bila title zao ni tatizo. Kwenye Ukristu tunawaheshimu pia lakini tunachukulia maisha yao kama mifano na mafunzo kwetu tunavyopaswa kuenenda. Yawezekana akina Daudi na mwanae Suleiman wana heshima ya pekee sana huko lakini huku ni watu wa kawaida tu; kama nilivyosema, maisha yao yanatufundisha mengi...na yote niliyoyasema yamo kwenye Biblia.
 
Hoja yangu siyo heshima hoja yangu ni nyinyi kuwazulia UONGO watu hao. Uongo ambao huwezi kuutetea,sasa tofautisha nilichokiandika na unachojibu ni mbingu na ardhi.
 
Uko sahihi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Fanya unavyofanya, wa kupigwa pipe atapigwa tu. Wanawake wanahitaji akili kuishi nao, timiza majukumu yako, mpende na kumjali, mpe dunia yote Ila akiamua kuliwa there's nothing you can do my friend.

Ukiona mwanaume anajimegea pembeni dont be quick to judge yani, kuna shida kubwa sana kwenye ndoa za kisasa.
 
Mwanamke akisimama vyema kwenye nafasi yake nyumba ni lazima iwe pepo ndogo.

Swala la nguvu za kiume hata mwanamke ana wajibu wa kulitatuwa na uwezo huo anao.

Unapotaka kufikishwa kileleni jiulize je wewe mwenyewe unamfikisha mwanaume kileleni, mwanaume kukojowa siyo ndio kufika kwake kileleni kwani hata ukipiga punyeto unakojowa vizuri tu.

Swali linabaki palepale ni kwa nini nyumba ndogo huwa zinapinduwa nyumba kubwa?
Kila mtu a play part yake sio Mimi mwanamke nijichoshe kumfuraisha mtu mzima mwenzangu never on earth hana nguvu za kiume Hilo ni tatizo lake na saikolojia yake siwezi kumsubiria mda wote huku nikifa na ugwadu wangu loh
 
Basi hapo unajiona mjanjaaa. Hakuna dhambi mbaya na yenye gharama, mikosi na nuksi maishani kama ya kula mke wa mtu. Sasa wewe furahia tu lakini utakuja kuona matokeo yake kwako mwenyewe, familia yako na watoto wako huko mbele ya safari.

Mfalme Daudi alijifanya mwamba lakini dhambi ile ilimtesa sana pamoja na familia yake - vifo, matoto kubakana, mengine yanauana na hata litoto limoja likaishia kuwa na wake 700 na michepuko 300. Alisamehewa dhambi yake ya kulala na kuzaa na mke wa mtu lakini madhara yake yaliendelea mpaka vizazi na vizazi.

Ndoa ni taasisi takatifu sana mbele ya Mungu. Usiiingilie! [emoji1545]
Hata usemeje..namuunga mkono mtoa mada.......Hebu muwatosheleze wake zenu...manake sasa mnatupa kazi sana kuwapa company sababu ya uzembe wenu....kinachoniudhi ni kula wake za watu kwa kujificha jificha.....tunakuwa hatupo free sababu tunawaogopa msije mkatufumania... lakini kwa upande mwingine mnatupa mzigo wa kuwatoa stress wakati wengine tuna wake zetu nyumbani.......halafu mara nyingi huwa nawagonga wanawake ambao wameolewa na wachaga.....mfano ni huyu wa sasa ana kaa mitaa ya Mbezi beach anajiweza kiuchumi sababu ni mfanyabiashara...na siyo muhuni kabisa huyu mwanamke lakini mara zote huwa analalamika kuhusu mumewe kwamba yupo bize na kazi na pombe....sasa yeye anataka sex tu toka kwangu mambo mengine yoote anagharimia mwenyewe...Na huwa kila Jumapili nakutana nao kanisani huwa wanakuja kifamilia mke,mume na watoto wawili........kaazi kweli kweli....Najua kulala na mke wa mtu siyo ujanja..lakini huyu mwanamke ameniomba awe mchepuko wangu rasmi...hakika ukimuona anavyolalamika lazima utamuonea huruma......Wachaga mnakwama wapi?
 
Mwanaume akioa mwanamke sahihi yule wa kufanana nae☝️
Na akasimama kwenye nafasi yake kwenye kutimiza wajibu wake kama mume✌ hakuna mwanamke anaweza shindikana👋
ni wanawake 2 kati ya 1000 ndiyo hawashindikani na ni sababu ya umaskini na kutokuwa na mwelekeo ......mwanamke akisha kuwa matawi ya juu harekebishiki ...wanawake wenye uwezo halafu wakawa wasikivu kwa waume zao ni 1:100,000
 
Mke wa mtu.
Hadi analiwa kuna sababu kadha wa kadha. Naunga mkono mawazo ya mleta uzi.
 
Hata usemeje..namuunga mkono mtoa mada.......Hebu muwatosheleze wake zenu...manake sasa mnatupa kazi sana kuwapa company sababu ya uzembe wenu....kinachoniudhi ni kula wake za watu kwa kujificha jificha.....tunakuwa hatupo free sababu tunawaogopa msije mkatufumania... lakini kwa upande mwingine mnatupa mzigo wa kuwatoa stress wakati wengine tuna wake zetu nyumbani.......halafu mara nyingi huwa nawagonga wanawake ambao wameolewa na wachaga.....mfano ni huyu wa sasa ana kaa mitaa ya Mbezi beach anajiweza kiuchumi sababu ni mfanyabiashara...na siyo muhuni kabisa huyu mwanamke lakini mara zote huwa analalamika kuhusu mumewe kwamba yupo bize na kazi na pombe....sasa yeye anataka sex tu toka kwangu mambo mengine yoote anagharimia mwenyewe...Na huwa kila Jumapili nakutana nao kanisani huwa wanakuja kifamilia mke,mume na watoto wawili........kaazi kweli kweli....Najua kulala na mke wa mtu siyo ujanja..lakini huyu mwanamke ameniomba awe mchepuko wangu rasmi...hakika ukimuona anavyolalamika lazima utamuonea huruma......Wachaga mnakwama wapi?
Mkuu, Matendo unayoyafanya sasa huwa yatakuja kujirudia kwa vizazi vyako. Baba ukiwa mchepukaji na watoto watakuja kuwa kama wewe, hapo unajiandalia kizazi cha uchepukaji.

Miaka kumi iliyopita kuna mpangaji wetu aliwahi kufumaniwa anafanya mapenzi na Dada yake wa tumbo moja, mwezi uliopita nimekuja sikia mtoto wa yule jamaa nae anatuhumiwa kutembea na mdogo wake. Nikaja kukumbuka yale matukio ya Baba yao nikaunganisha dot.
 
Back
Top Bottom