Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
ndroa ni ngumu drugo zangoHivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?
Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?
Ndoa ni fashion?
Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?
Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?
Ndoa ni fashion?
Jinsia yako tuijue kwanza kisha tutajibu makasiriko yako🤣Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?
Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?
Ndoa ni fashion?
hawakujua kwamba ukioa napo kumbe ukiitaka mpk uiombe,asa huo si upuuzi!!!Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?
Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?
Ndoa ni fashion?
Umeuliza kijanja apo[emoji1787]Kuna mpuuzi mmoja atakuja kuulizia jinsia ya mleta mada
MmeoJinsia yako tuijue kwanza kisha tutajibu makasiriko yako🤣
Kwani nawe ni mchepuko ?Watanzania wengi hawana raha kuishi maisha yao tu, wana nyege za ku control maisha ya wengine.
Mtu akiamua kuwa na michepuko mia moja, au asiwe na hata mke mmoja, hayo yote ni sawa.
Ni maisha yake, uamuzi wake.
Mimi inanihusu nini?