DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hapa Tz Ndoa ni kwa ajili ya kulea watoto tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umbwa we😂Inasikitisha sana, hivi watu wanachepuka? Mi nadhani wanafanyaga tuu mapenzi, kumbe wanachepuka kabisa
Nadhani amechukuliwa demu na mwanaume alie oa mkuuMaswali mengine Sjui Mnayatoa wapi!! Nidhahiri wewe hujaoa nakama Bado Basi Una mchepuko sasa huo Mchepuko wako Ni wa nn??
nadhani Trubarg atakua ni mpwiloka, aje atuambieBado sijaona moment ya maana.
Labda atokee mwanamme mwenye ndoa asiye na mchepuko Kama yupo atujuze anapewa kitu gani Hadi akose kua na mchepuko.
Wewe ni mchepuko ? Swali ni jepesi ila unazunguka
Mm nipo hapa.Mchupuko ni mhimu sana. Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja mkuu
Au we mkuu hili suala unalionaje🤣Umbwa we😂
Jiangalie unachoona kwa mchepuko kizuri kuna mtu kaona kwa mkeo piaMchupuko ni mhimu sana. Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja mkuu
1. PunditMultiple IDs zangu ni zipi, zitaje hapa watu wazichambue tuone.
Kama wewe ni mwanaume tambua kuwa unamatatizo makubwa sanaWanaishi kamazoea wanajifqnya marijali sana ila mwishowe Majuto yanakua mjukuu
ID za BC era, Before the Crash.1. Pundit
2. Bluray
3. Al-Watan
🤣🤣
Ukishaoa uje kutupa mrejesho Kwa upande wako mkuu..Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?
Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?
Ndoa ni fashion?
Ni kwasababu hawajaokoka. Kuokoka manake ni kumkabidhi Yesu maisha yako ili yeye akusamehe na kufuta dhambi zako, na zaidi ya hapo akupatie Nguvu ya kushinda dhambi. bila msaada wa Mungu huwezi kushinda dhambi, dhambi ina nguvu mno hasa hiyo ya zinaa, unahitaji msaada wa Mungu ambao hautaupata bila kumpa maisha yake Yesu. hatari yake ni kwamba kama utaendelea kuishi bila kuokoka hautashinda dhambi na mwisho wa siku dhambi huwa haimuachi mtu salama, ukitaka kuponya maisha yako okoka ili ushinde dhambi na uepuke matokeo ya dhambi. kama umeshapata matokeo ya dhambi tayari bado lipo tumaini la uzima wa roho, mpe Yesu Maisha yako pia.Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?
Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?
Ndoa ni fashion?
😂😂😂
Acha zihaka Mzee Toboa Tobo.Kama wewe ni mwanaume tambua kuwa unamatatizo makubwa sana