Wanaume mliooa na bado mna michepuko nje mmeoa kwa ajili gani?

Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?

Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?

Ndoa ni fashion?
“Pema ujapo pema ukipema si pema tena”
 
Kwani nawe ni mchepuko ?
Tabia nyingine ya Watanzania wengi kama wewe ni kutoweza kujadili mada kama mada, kwa abstract thought, na kuishia kumjadili mtoa mada, na kufanya ad hominem attack.

Yani kuacha kujadili mada kidhahania, na kumjadili mtoa mada.

Nimekuwekea hoja kwamba haijalishi mtu atakavyoamua kuishi, achepuke, asichepuke, huo ni uhuru wake, hayo ni maisha yake, huna haki ya kumuingilia.

Halafu unaniuliza kama nami ni mchepuko.

Una prove point yangu kwamba huwezi kumuachia mtu aishi kwa uhuru wake bila kumuingilia.
 
Kwani umeulizwa wewe, acheni kuwa na multiple IDs
 
Mimi nimekuuliza swali wewe ni mchepuko ? Hayo ya kukua attack hayo ni malalamiko yako binafsi
 
Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?

Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?

Ndoa ni fashion?
1.Kuwa na familia Moja, yaani mke na watoto ambapo tunabeba fully responsibilities, for almost throughout our life, na wao wakawa hivo kwangu.
Kumbuka, kwenye mchepuko hakuna full responsibilities Kwa mchepuko wenyewe ama Kwa watoto na hata ikitokea ni Kwa msimu.
2.Kupata ngome(military base) ya kuanzishia mashambulizi kwenda Kwa hao michepuko.
Kumbuka, wasichana wengi wanavutiwa zaidi na mwanaume mwenye stable family, waki appreciate uwajibikaji wake ndani ya familia.
 
Mimi nimekuuliza swali wewe ni mchepuko ? Hayo ya kukua attack hayo ni malalamiko yako binafsi
Kwa nini mimi kuwa au kutokuwa mchepuko ni jambo muhimu?

Mimi ndiye hoja inayojadiliwa hapa?

Mimi nakwambia habari za mchepuko au kutokuwa nchepuko ni habari za mambo binafsi ya faragha ya mtu, acheni ushamba wa kuingilia mambo ya faragha ya mtu.

Wewe unanidhihirishia kwamba wewe mshamba na hata somo la kuondokeea kwenye ushamba hulielewi.
 
Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?

Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?

Ndoa ni fashion?
UMWAHI kuwaza kwa nini mwanamke kwa mwezi anakuwa amerubisha yai moja tu? Ili hali mwanaume shot moja anakuwa na uwezo wa kugawa mbegu kwa wanawake walioko kwenye siku za kubeba mimba dunia nzima?
Ukipata hilo jibu rudi hapa nami nitaendelea kucoment.
 
Watanzania wengi hawana raha kuishi maisha yao tu, wana nyege za ku control maisha ya wengine.

Mtu akiamua kuwa na michepuko mia moja, au asiwe na hata mke mmoja, hayo yote ni sawa.

Ni maisha yake, uamuzi wake.

Mimi inanihusu nini?
Uzi uishie hapa
 
Kwa nini mimi kuwa au jutokuwa mchepuko ni jambo muhimu?

Mimi ndiye hoja inayojadiliwa hapa?

Mimi nakwambia habari za mchepuko au kutokuwa nchepuko ni habari za mambo binafsi ya faragha ya mtu, acheni ushamba wa kuingilia mambo ya faragha ya mtu.

Wewe unanidhihirishia kwamba wewe mshamba na hata somo la kuondokeea kwenye ushamba hulielewi.
Wewe ni mchepuko ? Swali ni jepesi ila unazunguka
 
Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?

Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?

Ndoa ni fashion?
We dogo tulia changamoto za ndoa ni nyingi sn kuna visilani, kunyimwa tendo na mdomo vinachangia sn tutoke nje.

Imagine mke anatumia paka kama silaha ya kunichapia kwa kutonipa mzigo week inakatika unataka nitumie nguvu ili aseme nimembaka...thubuuutu.

Nyau zipo za kushato nje najipigia narudi zangu kimyaa huku yeye akibaki na minyeli yake mwisho wa siku akikwama ataileta mwenyewe.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kwa jibu hilo ukadhani utanikera.

Ipo hivi.
Kama ni kijana na unalelewa na mashangazi hili suala.unalolijafili siyo mtaala wako.

Mwanaume ndani ya ndoa ni wachache sana wenye kasoro ambao hawajawahi kuchepuka. Kula gengeni pia kuna ladha yake.

Sisi Waafrika hatuwezi ndoa za wazungu za mke mmoja. Mioyo yetu inasukuma damu kama mbaula isiyochoka kupandisha lumbesa mlimani. Kama unadhani mke mmoja anatosha basi ishi kwenye dunia yako
 
Back
Top Bottom