Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

Fundisha njia ya kujikwamua endapo utahisi au kujua umefanyiwa ivyo nini hasa ufanye hope itasaidia kuokoa wanaume hasa kama ulite mwacha hujui pahali yupo na huwezi kumpata tena.
 
Kapime magonjwa wewe, uache kusingizia watu!
 
Nipe mbinu jinsi ya kutumia aseeee😂😂
 
Nipe mbinu jinsi ya kutumia aseeee😂😂
Nisije kuwa kama malaika muasi kufundisha mambo ya sirini public 🤣🤣 kipindi hicho kwa mwanamke kizuri sana kama atajua kukikutumia hasa kama akiwa na mwenza.. Ile ni limbwata toshaaa
 
Nisije kuwa kama malaika muasi kufundisha mambo ya sirini public 🤣🤣 kipindi hicho kwa mwanamke kizuri sana kama atajua kukikutumia hasa kama akiwa na mwenza.. Ile ni limbwata toshaaa
Kumbe ni mambo ya limbwata tena🙌🏾🙌🏾😂😂no thank you,,kugandwa ovyo sitaki mihe
 
Nipe mbinu jinsi ya kutumia aseeee😂😂
Kwann umdhuru mtu ulishawai kuvaa nafasi ya mama mwenye mtoto wa kiume uje uone mtoto wako wakiume akiteseka baada ya kufanyiwa hili unaloliwazia kupitia njia hii?
 
Kwann umdhuru mtu ulishawai kuvaa nafasi ya mama mwenye mtoto wa kiume uje uone mtoto wako wakiume akiteseka baada ya kufanyiwa hili unaloliwazia kupitia njia hii?
fatilia mlolongo vzur ad mwisho kisha njoo niulze
 
Kadogo2 kwani jinsia Ke haiumizi jinsi Me?
 
Unakaa na binti wa watu unamuaminisha utamuoa then after two years unambwaga ni bora ukawa hit and run kuliko kuweka kambi mtu akakuamini
Mara nyingi huwa tuna mpango wa kuoa ila sasa ukishaishi na huyo mwanamke unaanza kujiuliza yaani maisha yangu yote nitamaliza na huyu kweli? Hiyo miaka miwili unakutana na mapichapicha mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…