Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

Hizi michezo ya visasi ipo sanaa, kuna rafiki wa jamaa yangu aliachana na binti tena kwa amani miaka ya 2010.
Jamaa akaja kupata mchumba mwingine 2013 akiwa kwenye shirika moja kubwa nchini linamlipa pesa nzuri.

Mwaka huo huo, Jamaa akaenda kikazi mkoa flani, by coincidence akakutana na yule X wake maeneo ya Mnadani wakabadilishana namba za simu.

Usiku jamaa akaona asilale kinyonge, akamchek X aje kumpa Kampani. Ebwana eeeh! That was a fatal mistake.

Hii story ni ndefu kidogo ntakuja kuiandikia uzi separate nikitulia.
Emdeleza tafadhali ili tujifunze
 
Tongoza wanafunzi , hasa wa chuo kama huna malengo ya kuoa, hao hawana visasi , ni pesa yako tu.

Hawa wawanawake wa mtaani wako open kwa ndoa,hawajui chochote hata kama ni maamuzi ya kichwa cha chini yamefanyika but no malengo,yeye ikimfata tu kesho yake anaelezea ukoo mzima kuwa amepata mchumba, sasa jichanganye umuache na asikie unaenda kuoa kwingine , kila rangi hutaacha kuona[emoji28]
Hata huyo wa chuo atamaliza atarudi mtaani otherwise usikae nae Miaka mingi yaani ukapoteza muda wake mpk akawa mshangazi
 
Wanawake mnamalizana na kukomoana wenyewe kwa wenyewe wanaume hatuhusiki kabisa. Jifunzeni kutoka kwetu kuhusu kumove on. Wanaume ukishasema it's done umepata mwingine haturudi nyuma tunasonga mbele hata kama ni kwa maumivu. Men don't fight for a cheating woman. Na tunaacha bila aliyeachwa kujua anajikuta tu yuko single. Tuna uwezo wa kukulisha na kukupa huduma nyingine ila ndio tumekuacha.

Siku mkiamua kupendana bila unafiki dunia itakuwa sehemu salama ya kuishi
Kuna mifano mibaya ambayo wanaume wanawaacha wanawake na ndio huko mwanamke atalipa kisasi mfano umemkuta mwanamke ana hela ukajiingiza pale halafu kumbe umependa hela unamdangia mwisho unamtafutia kisanga unamuacha unaenda kuruka na tutoto twa afu mbili then ushamfilisi dada wa watu aiseee lazima akurogee
 
Mara nyingi huwa tuna mpango wa kuoa ila sasa ukishaishi na huyo mwanamke unaanza kujiuliza yaani maisha yangu yote nitamaliza na huyu kweli? Hiyo miaka miwili unakutana na mapichapicha mengi sana
Ni kweli lakini kuna wanawake innocent sana waMeachwaa mkuu
 
Hadi unarogwa maana yake umepuuza kumpokea Yesu maishani mwako. Waulize wachawi wakwambie Moto wa Yesu ulivyo. Acheni kutukuza vinyonge!
Mkuu mimi siwezi kuroga mtu
Hii nimeisema kwani ni kitu ambacho kina endelea hapa bongo
 
Kuna mifano mibaya ambayo wanaume wanawaacha wanawake na ndio huko mwanamke atalipa kisasi mfano umemkuta mwanamke ana hela ukajiingiza pale halafu kumbe umependa hela unamdangia mwisho unamtafutia kisanga unamuacha unaenda kuruka na tutoto twa afu mbili then ushamfilisi dada wa watu aiseee lazima akurogee
Sisi tunafilisiwa toka siku ya kwanza na hatulaumu mwanaume mwenzetu. Sijui nyinyi kwa nini mnahamishia hasira zenu kwa wanawake wenzenu?
 
Watanzagiza , mutaacha lini imani za kishirikina?..... uchawi hakuna ✍️✍️
 
Maisha niliyoishi mimi na mama yangu ni funzo tosha kwangu. Aise hivi visasi vya kimapenzi vinaumiza mno watu wasio na hatia, japo mimi ni mwanaume ila sishauri wanaume wenzangu kuendekeza tamaa za kutamani kila mwanamke.

ukishamzalishamwanamke huyo huyo nenda kaishi naye acha kutafuta wanawake wengine waoneeni huruma viumbe visivyo na hatia.

usiombe kisasi cha mwanamke mchagga halafu ni mshirikina.
 
Ngoja niwape story! Umekimbusha kitu

I have a good friend of mine! Ni Rafiki yangu haswa.

Ananiamini mno! Nimekuwa mshauri wake wa mambo mengi yangu tukiwa A Level na uzuri tupata nafasi ya kusoma chuo kimoja degree yangu ya kwanza.

Jamaa angu akipata mchumba ila ukweni wakazingua ila jamaa alimpenda sana yule Binti, baadae wakatengana

Kwenye mishemishe za maisha jamaa akapata manzi wa kutuliza hisia tu, gafla akampa mimba.

Hapo hapo kule ukweni wakamwita na kumwambia nyie owaneni tu.

Huyu manzi mwenye mimba baada ya kujua Hilo! Maana nilimwambia nenda na mweleze ukweli, kwa sababu hamkua na mahusiano yenye Malengo yoyote!

Manzi akakubali jamaa aoe ila mimba akasema hatoi! Tukamwambia tutalea mtoto.

Kumbe yule Binti kaondoka na kisasi! Ndoa imeisha baada ya mwezi shemu akapata na yeye mimba! Huwezi amini iliharibika na akaanza kuumwa sana.

Katika kuchunguza tukajua yule dada kashapoteza wadada wawili kwa uchawi!

Nikwambie Abeee ! Hii ishu niache Mimi ni deal nayo shemu atakaa sawa ... Baada ya Kufanya ninayoyajua ndo shemeji yangu kapona.

Hii michezo ipo
Hamna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom