Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emdeleza tafadhali ili tujifunzeHizi michezo ya visasi ipo sanaa, kuna rafiki wa jamaa yangu aliachana na binti tena kwa amani miaka ya 2010.
Jamaa akaja kupata mchumba mwingine 2013 akiwa kwenye shirika moja kubwa nchini linamlipa pesa nzuri.
Mwaka huo huo, Jamaa akaenda kikazi mkoa flani, by coincidence akakutana na yule X wake maeneo ya Mnadani wakabadilishana namba za simu.
Usiku jamaa akaona asilale kinyonge, akamchek X aje kumpa Kampani. Ebwana eeeh! That was a fatal mistake.
Hii story ni ndefu kidogo ntakuja kuiandikia uzi separate nikitulia.
Tabia mbaya hiyo🏃🏾♀️
Hata huyo wa chuo atamaliza atarudi mtaani otherwise usikae nae Miaka mingi yaani ukapoteza muda wake mpk akawa mshangaziTongoza wanafunzi , hasa wa chuo kama huna malengo ya kuoa, hao hawana visasi , ni pesa yako tu.
Hawa wawanawake wa mtaani wako open kwa ndoa,hawajui chochote hata kama ni maamuzi ya kichwa cha chini yamefanyika but no malengo,yeye ikimfata tu kesho yake anaelezea ukoo mzima kuwa amepata mchumba, sasa jichanganye umuache na asikie unaenda kuoa kwingine , kila rangi hutaacha kuona[emoji28]
Sawa mkuuMimi sitetei mtu anayemwacha mwenzake kwa hila. Nazungumzia anayeacha katika HAKI. Kuna wanawake usipowaacha wanakudelilalaizi chap. Before being delilalaizdi let her delilalaizi herself!
Kabisaa mkuu… unaambiwa kama unamuweza mtu usisubiri kusaidiwa na Mungu jisaidie mwenyewe kwanzaMalipo ni hapa hapa duniani
Kuna mifano mibaya ambayo wanaume wanawaacha wanawake na ndio huko mwanamke atalipa kisasi mfano umemkuta mwanamke ana hela ukajiingiza pale halafu kumbe umependa hela unamdangia mwisho unamtafutia kisanga unamuacha unaenda kuruka na tutoto twa afu mbili then ushamfilisi dada wa watu aiseee lazima akurogeeWanawake mnamalizana na kukomoana wenyewe kwa wenyewe wanaume hatuhusiki kabisa. Jifunzeni kutoka kwetu kuhusu kumove on. Wanaume ukishasema it's done umepata mwingine haturudi nyuma tunasonga mbele hata kama ni kwa maumivu. Men don't fight for a cheating woman. Na tunaacha bila aliyeachwa kujua anajikuta tu yuko single. Tuna uwezo wa kukulisha na kukupa huduma nyingine ila ndio tumekuacha.
Siku mkiamua kupendana bila unafiki dunia itakuwa sehemu salama ya kuishi
Ni kweli lakini kuna wanawake innocent sana waMeachwaa mkuuMara nyingi huwa tuna mpango wa kuoa ila sasa ukishaishi na huyo mwanamke unaanza kujiuliza yaani maisha yangu yote nitamaliza na huyu kweli? Hiyo miaka miwili unakutana na mapichapicha mengi sana
Wanaumiza lakini wanaume ndio mmeshika usukani Hii ni kutokana na kuwa ninyi ndio waoajiKadogo2 kwani jinsia Ke haiumizi jinsi Me?
Mkuu mimi siwezi kuroga mtuHadi unarogwa maana yake umepuuza kumpokea Yesu maishani mwako. Waulize wachawi wakwambie Moto wa Yesu ulivyo. Acheni kutukuza vinyonge!
Sijakulenga wewe Mkuu. Hiyo general statementMkuu mimi siwezi kuroga mtu
Hii nimeisema kwani ni kitu ambacho kina endelea hapa bongo
Sisi tunafilisiwa toka siku ya kwanza na hatulaumu mwanaume mwenzetu. Sijui nyinyi kwa nini mnahamishia hasira zenu kwa wanawake wenzenu?Kuna mifano mibaya ambayo wanaume wanawaacha wanawake na ndio huko mwanamke atalipa kisasi mfano umemkuta mwanamke ana hela ukajiingiza pale halafu kumbe umependa hela unamdangia mwisho unamtafutia kisanga unamuacha unaenda kuruka na tutoto twa afu mbili then ushamfilisi dada wa watu aiseee lazima akurogee
Wajaribu uone au ngoja siku ujae kwenye 50 zaoWatanzagiza , mutaacha lini imani za kishirikina?..... uchawi hakuna ✍️✍️
Ugonjwa gani huo kwa mfano.....Kapime magonjwa wewe, uache kusingizia watu!
Hii mbaya sana kwakweliAcha kumdanganya mwanamke kwamba utamuoa
Kuamini ujinga kama huo kwa zama hizi nayenyewe ni aina ya ugonjwa,....tafuta mchawi unae muamini mwambie aje aniroge,... totally rubbish 🚮🚮Wajaribu uone au ngoja siku ujae kwenye 50 zao
SahihiUnayo hoja, usikilizwe mapenzi yasianzishwe holela kama mtu hamaanishi
Hamna kitu kama hichoNgoja niwape story! Umekimbusha kitu
I have a good friend of mine! Ni Rafiki yangu haswa.
Ananiamini mno! Nimekuwa mshauri wake wa mambo mengi yangu tukiwa A Level na uzuri tupata nafasi ya kusoma chuo kimoja degree yangu ya kwanza.
Jamaa angu akipata mchumba ila ukweni wakazingua ila jamaa alimpenda sana yule Binti, baadae wakatengana
Kwenye mishemishe za maisha jamaa akapata manzi wa kutuliza hisia tu, gafla akampa mimba.
Hapo hapo kule ukweni wakamwita na kumwambia nyie owaneni tu.
Huyu manzi mwenye mimba baada ya kujua Hilo! Maana nilimwambia nenda na mweleze ukweli, kwa sababu hamkua na mahusiano yenye Malengo yoyote!
Manzi akakubali jamaa aoe ila mimba akasema hatoi! Tukamwambia tutalea mtoto.
Kumbe yule Binti kaondoka na kisasi! Ndoa imeisha baada ya mwezi shemu akapata na yeye mimba! Huwezi amini iliharibika na akaanza kuumwa sana.
Katika kuchunguza tukajua yule dada kashapoteza wadada wawili kwa uchawi!
Nikwambie Abeee ! Hii ishu niache Mimi ni deal nayo shemu atakaa sawa ... Baada ya Kufanya ninayoyajua ndo shemeji yangu kapona.
Hii michezo ipo