Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

Ndio ukweli mkuu hata kama kosa ni lake ili mradi tu ameumia basi ni atakurogaaaa

Hivi familia zao au wanaooana anayebaki anajua je kuwa huyu au yule ni sababu ya mchezo kaondolewa?
 
Tens husijitusu kwa hawa wenye umri wa 27yrs na kuendelea na uingie na gia ya kuoa ,then ukapiga acha ,lazima atakuendea kwa babu. Maana alikuwa na matarajio makubwa na ulimpa matumaini akajiona tayari ni mama mjengo, kumbe muhuni hesabu zako ni kupiga na kuacha.
 
Ongeza nyama kidogo mkuu
 
Kuna wajibu wa kuwa na sheria kali kuhusu mambo haya uchumba miaka 5 then amemtumia kiasi cha kutosha bila kuoana kuna wajibu wa kuwa ana kanuni na kama zipo basi jamii iihelimiswe
 
Kuna wajibu wa kuwa na sheria kali kuhusu mambo haya uchumba miaka 5 then amemtumia kiasi cha kutosha bila kuoana kuna wajibu wa kuwa ana kanuni na kama zipo basi jamii iihelimiswe
Wanawake na sisi tujiongoze. Unakaa na mtu mwaka , miaka bila ndoa halafu unaendelea kuwa naye. Tutumie akili zetu kujua hapa hakuna future. Utaroga wangapi? Kutwa kucha utakuwa unabadilisha waganga. Tujifunze kumuacha ende, kwani kuna maisha bila wao. Atakuja ambaye ni wako.
 
Hakunaga kuachana kwa amani trust me… kuachana na mtu umetangaza nae vita… ila sasa upiganaji wake wa hiyo vita ndio kunatofautiana silaa, wenginee wanatumia risasi wengine makombora ya nyukliya
Mkuu tunatakiwa kuwaache Wanawake kiujanja na siyo una muache mwanamke kwa ghafra inatakiwa umuache taratibu mpaka akija kushtuka kashazoea, Na pia Ukimuacha Mpenzi wako anatakiwa hasijue kama umeoa na ata akijua iwe meditation miaka zaidi ya miwili uko, Na yeye kama atakua kasha zalishwa au kaolewa.
 
Mkuu umesema ukweli mtupu vijana ukitaka kufurahia ujana ingia kwenye Mahusiano na mabinti wa chuo lakini ukiingia kwenye mahusiano na Wanawake wenye miaka 28 na kuendelea utapata shida sana, Wanawake wenye kuanzia miaka 28 na kuendelea wao wanataka ndoa kwa udi na uvumba kwasababu wao wameshatumika sana, Sasa wanatafuta boya mmoja sasa kijana makini hawezi kukubali kuoa Mwanamke aliyepitia mahusiano na Wanaume zaidi ya sita.
 
Duh! Aisee 🤔
 
Mkuu jiandae ulete mkasa mzima tujifunze kitu
 
Mimi niliambiwa live ntarogwa😂 lakini Bado nadunda, ukiona limenifika Allah kaliandika hakuna kukwepa, vinginevyo hakuna linalonifika💪.

Tena wengine wanakuroga hata kosa huna, basi tu uonevu.
 
Mimi niliambiwa live ntarogwa😂 lakini Bado nadunda, ukiona limenifika Allah kaliandika hakuna kukwepa, vinginevyo hakuna linalonifika💪.

Tena wengine wanakuroga hata kosa huna, basi tu uonevu.
Wanaorogwa huwa hawasemi mkuu
 
Hayo yote ya nini … kama huna malengo na mtu achana nae mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…