Wanaume mmemsikia mwenyekiti wa wanawake? Haya kazi kwenu

Kweli wanaumiza sana ila kuroga hapana jamen.Unajua kitendo Cha kwenda Kwa mganga tu tayari we ni mwanga

Wateja wa waganga ni wanawake

Bila wanawake waganga wangekuwa wameshatafuta kazi halali za kufanya na kuacha utapeli.

Maana wanaume tunatumia akili sio hisia mganga hawezi kutudanganya.

Uhalisia uchawi haupo. Hakuna mganga anayeweza kumpangia fate binadamu yeyote.. mganga mwenyewe maskini halafu akupe utajiri. Mganga mwenyewe hawezi kupata mume mwenye hela halafu akupe wewe mume mwenye hela.

Mganga mwenyewe anaumizwa na mapenzi halafu akusaidie wewe usiumie kwenye mapenzi.

Uchawi ni myth tu.

Nchi zilizoendelea zilishasahau hizo hadithi zamani sana. Huku africa mnadanganyana na kurogana
 
Nimeaga na bibi akanichinjia kondoo

Sijatishika hata chembe aisee

Wanangu tusiache kula mbususu ni nyingi sana tusitegeane hata kidogo

Program ni ile ile tunatafuta za kuwala na maendeleo[emoji41]
 
Wateja wa waganga ni wanawake

Bila wanawake waganga wangekuwa wameshatafuta kazi halali za kufanya na kuacha utapeli.

Maana wanaume tunatumia akili sio hisia mganga hawezi kutudanganya.

Uhalisia uchawi haupo. Hakuna mganga anayeweza kumpangia fate binadamu yeyote.. mganga mwenyewe maskini halafu akupe utajiri. Mganga mwenyewe hawezi kupata mume mwenye hela halafu akupe wewe mume mwenye hela.

Mganga mwenyewe anaumizwa na mapenzi halafu akusaidie wewe usiumie kwenye mapenzi.

Uchawi ni myth tu.

Nchi zilizoendelea zilishasahau hizo hadithi zamani sana. Huku africa mnadanganyana na kurogana
Watu wanarogwa mkuu
 
Back
Top Bottom