Azul
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 647
- 1,349
Hahaha wewe dada, ila ni kweli..Mungu sisi binadamu tunamuachia mambo mengiii sanaa, Maisha ni yetu tuyapambanie..View attachment 2329149
Wanawake mmesikia makubaliano ya kikao chetu cha mwisho?
Hakuna kumuachia Mungu.... Mungu muachie hesabu malipo tulipane hapa hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Ila sasa hiyo vita ya kikao chenu, ya moto sanaa tulieni bhanaa