Wanaume mmemsikia mwenyekiti wa wanawake? Haya kazi kwenu

Hahaha wewe dada, ila ni kweli..Mungu sisi binadamu tunamuachia mambo mengiii sanaa, Maisha ni yetu tuyapambanie..

Ila sasa hiyo vita ya kikao chenu, ya moto sanaa tulieni bhanaa
 
Napenda kuongea haraka haraka kama hivi

Ila siwezi
Hata usitamani wengine hapa tunasauti za kinyakyusa tukiongea haraka wanadai tunafoka ni mwendo wakuadopt slow motion na kuwa holy mary
 
Aisee!? Kuna mda huwa nashindwa kuelewa nikuweke kundi gani litakalo kufaa zaid
Easy wangu! Nimepitia mengi ambayo yamenifanya masuala ya mapenz nimeyaacha kama yalivyo...Sina complication kabisa.Kama Mungu amepanga nitaishi na mume mwenye kujali nitapata TU,kama haijapangwa maisha niishiyo sio mbaya pia❤️
 
Hahaha wewe dada, ila ni kweli..Mungu sisi binadamu tunamuachia mambo mengiii sanaa, Maisha ni yetu tuyapambanie..

Ila sasa hiyo vita ya kikao chenu, ya moto sanaa tulieni bhanaa
Hatupoiii hadi mnyookee
 
Na uliongeza nae mtoto mwingine? Nadhani napitia hali yako!
 
Anapata tena vizuri tu.
Kwani nyie mkiona utelezi huwa mnakumbuka mengine?
Kuliwa utelezi na kuoa ni vitu viwili tofauti. Mpo ambao Mungu amewatunukuu utelezi malidadi. Lakini hakuna anayeweza kuthubutu kuwaoa
 
Easy wangu! Nimepitia mengi ambayo yamenifanya masuala ya mapenz nimeyaacha kama yalivyo...Sina complication kabisa.Kama Mungu amepanga nitaishi na mume mwenye kujali nitapata TU,kama haijapangwa maisha niishiyo sio mbaya pia❤️
Aisee!!
Ila Mungu atajaria tu as long as bado upo hai ipo siku utapata mwenyewe kujielewa na kukthamini
 
View attachment 2329149
Wanawake mmesikia makubaliano ya kikao chetu cha mwisho?

Hakuna kumuachia Mungu.... Mungu muachie hesabu malipo tulipane hapa hapa.
🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃
Dawa ni kukaa kwa Yesu, dunia inatesa watu sana. Watu wanaishi maisha ya mihangaiko mingi sana... ndoa zilizoamua kumweka Mungu pembeni zimekuwa silaha za kuua maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…