Kuna Mjukuu wangu mmoja aliwahi kupitia huo Mtihani miaka 20 iliyopita
Yeye hadi Wazee walikuja nyumbani kumtolea Posa
Kumbe hawakuwa Wazee, isipokuwa Wazee wahuni wa DSM.
Kumbe yule Mjukuu alimwambia yule Kijana muuoaji eti ili ampe utamu wake, sharti aje amtolee barua ya Posa.
Posa ililetwa na Wazee wa mchongo shilingi 30,000 wakiwa wamevaa vizuri huku wakipiga stori za Uwongo kwamba wanasubiri meli yao ipakue mzigo pale bandarini, na Kijana muoaji eti ndiyo Msimamizi pekee wa biashara zao.
Baada ya Posa, Binti Mjukuu akamfungulia miguu Kijana muoaji wa mchongo
Kijana alijipigia kama Mwezi mmoja hivi, baada ya pale akahama Mtaa na Wala lile ghetto zuri halikuwa la kwake Bali aliazima tu ili kumvutia Binti
Kijana akalala mbele pamoja na Wazee wake wa mchongo (aliowakodi pale Magomeni) 🙌
Pole binti yangu
Miss Natafutwa