Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Kesha liwa tayari!!!๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Usituchukie wanaume wote Kwa kosa la mtu mmoja
 
Ulimpa ๐Ÿค”?
 
Nawe kudanganywa kidogo tu ukajaa.pole kwa kujidhalilisha.
 
Nisamehe my dear sikutegemea kama utakuwa na kitumbua kichafu hivyo! Mwonekano wako kwa nje uko poa sana, sasa huko ndani. Nisingeweza kukaa na wewe milele!
 
Tatzo Dunia hii ya kisasa inatuhukumu wenyewe kutoka na misingi ya kisasab (Utandawazi)
Pole sana mkuu

Nazan kwa umri ulionao sizan kwa maelekezo ya awali kbsa unashawishika na neno ndoa , ukiona mwanaume anakuja kwa style hiyo mchomelee no matter how smart he is ,


Neno ndoa huja mbele ya maahusiano i think you have a lesson ,
 
Kuna Mjukuu wangu mmoja aliwahi kupitia huo Mtihani miaka 20 iliyopita

Yeye hadi Wazee walikuja nyumbani kumtolea Posa

Kumbe hawakuwa Wazee, isipokuwa Wazee wahuni wa DSM.

Kumbe yule Mjukuu alimwambia yule Kijana muuoaji eti ili ampe utamu wake, sharti aje amtolee barua ya Posa.

Posa ililetwa na Wazee wa mchongo shilingi 30,000 wakiwa wamevaa vizuri huku wakipiga stori za Uwongo kwamba wanasubiri meli yao ipakue mzigo pale bandarini, na Kijana muoaji eti ndiyo Msimamizi pekee wa biashara zao.

Baada ya Posa, Binti Mjukuu akamfungulia miguu Kijana muoaji wa mchongo

Kijana alijipigia kama Mwezi mmoja hivi, baada ya pale akahama Mtaa na Wala lile ghetto zuri halikuwa la kwake Bali aliazima tu ili kumvutia Binti

Kijana akalala mbele pamoja na Wazee wake wa mchongo (aliowakodi pale Magomeni) ๐Ÿ™Œ

Pole binti yangu Miss Natafutwa
 
Ila vijana wana Mbinu Looh๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜“

Pole yake huyo binti, japo najua saizi atakuwa mmama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ