Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Yaani we binti unatafuta tu toka niondoke jamii forum mpka nimerudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni watu wawili tofautiYaani we binti unatafuta tu toka niondoke jamii forum mpka nimerudi
Kumekucha, bado hujasema.Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa
Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.
Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
😂😂Mkuu sijawahi acha hua naachwa vibaya sana😂😂wanafiki wamewasili😂
Pole Edo😅😂😂Mkuu sijawahi acha hua naachwa vibaya sana😂😂
Shukrani mkuu, hii Valentine nijifungue home na bundle langu😁Pole Edo😅
Hahahahahaha....... aiseee kwamba katumika mpk nyapuu imegeukia kushoto maaana yakeUlimpa thamani yako?,ulikua bado bikra au aliikuta tayari ni ya wasakatonge na jua kali?
Haha sijuagi kusherehekea huo ujinga, mimi maisha yangu hayaendeshwi na matukio bali mimi mwenyewe nayapangilia kuwa leo nimtoe mtoto wa nani...hahaShukrani mkuu, hii Valentine nijifungue home na bundle langu😁
Tupo pamoja mkuuHaha sijuagi kusherehekea huo ujinga, mimi maisha yangu hayaendeshwi na matukio bali mimi mwenyewe nayapangilia kuwa leo nimtoe mtoto wa nani...haha
Yani kumpa hilo papa lililochakaa ndo kumpa thamani 😂Najuta kumpa thamani yangu.
Tena alisema anataka kazi ya kulea watoto wadogo, imagine anatoka kugongwa huko afu anakuja kumlea mwanao 😂Ulisema unatafuta kazi halali baada ya kustaafu kujiuza, sasa haya mapenzi tena yalitokea wapi
Eeeh!!Kwani na wewe siulienjoy?
Duh!!Yani kumpa hilo papa lililochakaa ndo kumpa thamani 😂
Kwenye ule uzi nilikuambia ww n mpumbavu, narudia tena ww n mpumbavu.
Kama kawaidaa Yani ukae bila kutibua watu.😂Yani kumpa hilo papa lililochakaa ndo kumpa thamani 😂
Kwenye ule uzi nilikuambia ww n mpumbavu, narudia tena ww n mpumbavu.