Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Sawa TANGAZO TUMELIELEWA π"Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali....
π₯π₯π₯π₯Safi huo ndio urijali,kaka ni uliezaliwa nae tumbo moja tuu.
Mimi pia nakutaka.Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha puaπ π
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!
Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!
Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,
Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.
Adios!
Sijaona tatizo hapo, kama hupendi unakataa moja kwa moja, hivi waliofanikiwa kukugalagaza nao utawaleta huku???Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha puaπ π

acha mambo ya 'kishamba', wa wapi wewe?...! kwani kutongoza ni jinai? ni jambo la ajabu? hutaki kataa, unataka kubali, simple. no wonder utakuwa mbovu mbovu hivi.Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha puaπ π
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!
Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!
Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,
Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.
Adios!
lishamba hili...Sijaona tatizo hapo, kama hupendi unakataa moja kwa moja, hivi waliofanikiwa kukugalagaza nao utawaleta huku???
Mkuu,Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu anakuja kukutongoza
no mkuu, huyu ni dizaini ya wale washamba washamba waliojua jiji at 50'sHuo ndo ushabab wa mwanaumme.
Halafu nyie wanawake huwa siwaelewi, msipotongozwa mnajistukia mixer kwenda kwa sangoma.
Mkitongozwa napo ndo kama hivi mnakuja juu!
Hahaha,UZI UMEKAA KIMKAKATI HASA..... ππππ€£π€£π€π€£π€£π€£π€π€ BILA KUWA NA D HATA MOJA HUELEWI HAPA.
kabisa, linatafuta kikilishamba hili...
PatheticSawa TANGAZO TUMELIELEWA π
ShindwaaaaaaaaMimi pia nakutaka.
"Samahani mdogo wangu kama hutojali nataka tuenjoy maisha pamoja utafurahi hehehehe"
Kama sipendi jeKutongozwa kwa mwanamke ni sehemu ya maisha, utatongozwa popote, na katika mazingira yoyote, kukubali au kukataa ni hiari yako