Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Eeh hapo umenena sana bana, mimi nmewahi kupata hiyo hiyo, unamheshimu mtu kama ndugu yako halafu anaanza kukudanganya na story za ndoa. Ni kama watu hawaelewi kuwa heshima si mwaliko. Hapo kichwa cha pua umesema vizuri, mtu aje kwa nia njema tu au anyamaze.
 
Any of yuur male acquaintance, has thought of fu#king you atleast once.
 
Naona unagoma kuwa mtu mzima,yaani kutongozwa tu kidogo unalia ******* na kukukimbilia JF na kufungua thread juu,we unadhani mama yako asingetongozwa na baba yako ungezaliwa?,embu kua acha utoto,watoto wa sekondari wenyewe wanatongozwa na wanaenjoy sembuse wewe,kuwaheshimu tu wazazi wako kunatosha,umenikera sana sikutegemea kama nilivyokutongoxa ungekuja kuninanga humu JF
 
Back
Top Bottom