Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua😠😠
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!

Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!

Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,

Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.

Adios!
Acha uchoyo! Mnapewa bure na kuitaka ila mnajifanya kuleta ubishi tu!
 
Mbona mnashusha sana essay vipi wazee!? basi kuanzia leo nitakua nawapasia mitongozo ninayopewa😂😂😂
Sio kwa hasira hizi na wengi mlochachamaa mnanuka makwapa
Kwamba mumeo / mkeo huna heshima na yeye kwakuwa huwa mnavuana nguo, sio!?

Hilo ni tendo la kiuumbaji ambalo halikwepeki isipokuwa kwasababu fulani ambazo zipo juu ya uwezo wa binadamu
 
Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua😠😠
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!

Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!

Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,

Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.

Adios!
Wanaume wengi tuliooa wake zetu walikua wanatuita kaka
 
Tafuta kwenye Kamusi ya Kiswahili kama neno - KUTONGOZA- lina maana ya kwamba ni -TUSI- la kukufanya mpaka ukasirike hivyo!!?

Yaani hata neno -NAKUPENDA-lenye kueleweka moja kwa Moja hata kwa mtoto mdogo ,nalo kwako ni Kero!!?Wewe ni Binadamu gani sasa!???
 
Ni binaadam nisiyetaka kutongozwa hasa na watu niliowapa heshima
 
Hawa madokta tuwasamehe bure kuna mwenzao ametusanua wanalipwa laki nane mpaka millioni mbili unusu.

Yaani mikoti yao yote ile na mbwembwe za vile vidude wanaweka shingoni mshahara mkubwa kabisa 2.5M.

Madokta wanastress.Hata huyo Dr.Makopo kalanduka na stress za usomi uchwara mshahara mbuzi😀😀😀

Hawa madokta wanahitaji kutongozwa sana ili kuwapunguzia stress za vipato,parttime hazitoshi.

Nashauri waliwe kimasihara.
Mshahara wa mwisho wa daktari wa digrii moja siyo huo uliousema hapo, wacha kupotosha Umma.
 
😹😹😹 Babe wenzio wanashinda kwa mwamposa wapate wa kuwatongoza wewe unawakataa?

Umenikumbusha jamaa mmoja hivi alikuwa jirani yetu nikawa namuita kaka. Sasa si nikaota chuchu asianze kunitongoza nikamkataa jibu alilonipa ilibidi nicheke tu..!!

Alisema “Sasa unanikataa nini wakati ulivyokuwa mdogo unaoga nakuona ukiwa chiu?” 😹
 
Mi ndo sijielezagi namna hiyo huwa naenda direct kwenye point... "unajua wewe ni mzuri? Njoo basi unitembelee geto baadae" ndo nimemaliza kusuka au kunyoa ni wewe na ukikubali ndo suala la namba na mambo mengine ya mgegedo yanafuata.
Ila migegedo nawasihi tu tuwe makini
 
Back
Top Bottom