Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Pongezi Sana kaka yangu popote ulipo kwa kufanya uamuzi wa kuomba potassium mapema trust me ungetumika Sana na huyu mwanamke kulipa kodi luku vocha na msosi na usinge Ona Ata paja lake

Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke kama ilivo kwenye nature hakuna urafiki Kati ya simba na swala
 
Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua😠😠
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!

Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!

Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,

Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.

Adios!
Kutongozwa ni wajibu ila kukubali ni hiyari yako. Stay calm 😀
 
Inakubidi upende tu na ujizoeshe hivyo maana hamna namna utakwepa, utakuwa unakasirika kila siku, halafu inatakiwa ujue muda mwingine mwanaume kukutongoza sio kwamba anakutaka, ila ni kupima uwezo wake wa kutongoza kama bado anaweza kupanga sound zikakubalika sasa wewe utachukia kumbe yeye mission yake imetik
Maake apo kwanza n'cheke, sasa wengine sio wa kupimwa unaweza ukapigwa teke la mbavu
 
Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua😠😠
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!

Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!

Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,

Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.

Adios!
Hakuna jipya!. Ni sawa tu na wale tunaowaheshimu kama dada zetu wazazi kabisa lakini hatimaye wanaanza kununa kisa hatuwatongozi.

Na mbaya zaidi mtu anajua fika kabisa kwamba wewe ni Mume wa mtu lakini anang'ang'ana kama kiroboto!.

Ndio dunia ,kila upande kuna ngano na magugu!
 
Aaah Dr. utasema muwa ni mchungu na hujawahi hata kuung'ata?😅

Eti Dr...
Nadhani unatisha kwa kuuangalia tu ulivyo mrefu, mgumu, halafu uanze kutolewa maganda, ukatwe katwe utafunwe aaargh! lakini apple ukiliosha tu unang'ata unaenjoy,

Nb: sio mpaka uonje hata kutizama tu kunaweza kukuondolea appetite
 
wanaume hawama aibu kabisa, unakuta anatongoza na kulala na binti ambaye kiumri amezidiwa hata na watoto wake wa kike!imagine baba ana binti ana miaka 34 lakini anatembea na binti wa miaka 23 kha ! kwahiyo hi mijamaa haina maana kabisa.
Ayaa yani wa miaka 23 kabisa wewe unaota nini, Walimu wa sekondari wanapakua wanafunzi below 18
 
wanaume hawama aibu kabisa, unakuta anatongoza na kulala na binti ambaye kiumri amezidiwa hata na watoto wake wa kike!imagine baba ana binti ana miaka 34 lakini anatembea na binti wa miaka 23 kha ! kwahiyo hi mijamaa haina maana kabisa.
Exactly my meaning, hawana adabu wala aibu, wajitafakari sana
 
Nadhani unatisha kwa kuungali tu ulivyo mrefu mgumu, halafu uanze kutolewa maganda, ukatwe katwe utafunwe aaargh! lakini apple ukiliosha tu unang'ata unaenjoy,

Nb: sio mpaka uonje hata kutizama tu kunaweza kukuondolea appetite
Kizazi cha laana hikiii😢 ndo jf inapataga attention huku ila kwenye documentary za Lisuu hapana
 
Back
Top Bottom