Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Hahaahhaahhaha lakini chiu wa mtoto si sawa na wa mtu mzima,
Mimi bhana tangu enzi hizo mwanaume akinitongoza natoka na kilio hadi home kaka zangu walikua hawana mchezo na dada yao walitembeza sana mkong'oto kwa wanaume wakware hadi nilikua naogopwa, πŸ˜‚πŸ˜
 
Kak zako na humu wapo mkuu?πŸ˜‚
 
Maandiko yanasema "Nendeni mkazaliane, mkaijaze Dunia"

Nadhan tungeleendelea kukaa humo humo kwenye maandiko.

Mtongozo ni moja kati ya hatua chache kuelekea kutimiza maandiko matakatifu ya kuzaliana na kuijaza Dunia yetu.

Ukitongozwa basi tongozeka ili kwenda kutimiza azma ya Mungu wetu ya kuja kuijaza Dunia.

Bila mtongozo hata wewe leo hii usingepatikana.

Kumbuka "Ng'ombe hazeeki maini" mwanaume anaweza tungisha mimba hata akiwa na miaka 70 so wewe binti wa miaka 28 kama azma yako ni kuja kuijaza Dunia usiogope umri wa mshua, hana undugu na wewe, hamkuzaliwa tumbo moja wala ukoo mmoja so mwachie tu mzee wa watu na yeye ashenyete, Inawezekana mzee wa watu ujana wake wote alikuwa porini huko anapambana na majangiri na kaanza kuona vigoli aliwa na above 65yrs.

Mwanzo 1:28
Mungu akawabariki na akawaambia, β€œZaeni na mkaongezeke, mkaijaze dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”
 
Mshahara wa mwisho wa daktari wa digrii moja siyo huo uliousema hapo, wacha kupotosha Umma.
Dogo ukikanusha kitu uwe unaweka facts.Ungekuwa wa maana sana ungestate hiyo figure ambayo wewe unadhani ndio sahihi,never the less wewe ni wa kupuuza.

Anyway, as a matter fact nikusaidie kitu kidogo ili uwe na uelewa na kitu kinaitwa mshahara.

Take home ya hao kima wa levo ya degree ni Laki nane to tisa na points(ushenzi) hii ni baada ya makato ya hapa na pale including HESLB.

Kwa jinsi mambo ya mifumo yanavyoshika kasi kwa sasa na kuendelea/future hao madaktari wameanza kuwa kama walimu(HOHEHAHE).

MADAKTARI HUWA WANAPATA HELA ZA MBOGA NA ZA BIA NA MAFUTA YA VI-IST VYAO KUPITIA GANJI.SO WITH THIS CHANGE OF TEKNOLOGY, SHIFTING TO PAPERLESS SERVICE BASED.HAO NYAUZZZ WATASAGA MENO SANA NA VILIO VITAKUWA VINGI.

BOY KEEP YOUR HEAD UP!!!
 
Kutongoza noli hali ya msingi kwa kila mwanaume na amezaliwa nayo, kuifanyia kazi sio dhambi. Na mbona ulio wakubalia hujawafungulia uzi?
 
Kunatofauti kati ya MWANAUME NA mvulana. Sasa hyo sasa ni mwanaume na ndyo tabisa ya kiume hakunaga urafiki wa ke na Mwanaume ila kuna urafiki wa ke na mvulana..

Ulipaswa kushukru kuwa kumbe hauko na mvulana ila uko na mwanaume.. sasa ukirudi njoo na ushahidi wa mwanaume...
 
Hivi unaelewa unachokisema? Mimi nina ushahidi ambao siwezi uweka hapa na siwezi kutaja fugure ila mshahara wa mwisho ni ule anaolipwa aliyepanda madaraja mpaka mwisho ambao ni mkubwa kuliko figure uliyesema eti ni 2.5M, nazungumzia kabla ya makato. Hata hapo unapotaja laki nane take home kwa anayeanza kazi nayo siyo kweli, umetaja ndogo kuliko uhalisia. Kingine cha kukusaidia, ktk ngazi za halmashauri, hakuna anayelipwa hela nyingi kama daktari, hata bosi wake yaani afisa utumishi au katibu afya wilaya, anazidiwa na daktari ambaye ni subordinate wake. Madaktari walio kwenye taasisi za uuma wanalipwa zaidi, acha kupotosha vitu usivyovijua, tunazo data na documents zote.
 
😹😹😹
Kukosa mama yangu kuwa mkali ningeliwa na chumvi km embe bichi na wanaume wakware..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…