Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Kwanni waje wazee vijana hawakuoni au 🌟
 
Mkuu tatizo MOYO.
 
Naomba kuuliza ni dhambi kutongoza mtu anayekuheshimu tu wala si ndugu yako,wanaume wameambiwa kuwapenda wanawake na wanawake wawatii wanaume,sasa mwaume kapata mke mwenye heshima/utii kwa nini asikoleze mahusiano?Ni dhambi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…