Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Mi ndo sijielezagi namna hiyo huwa naenda direct kwenye point... "unajua wewe ni mzuri? Njoo basi unitembelee geto baadae" ndo nimemaliza kusuka au kunyoa ni wewe na ukikubali ndo suala la namba na mambo mengine ya mgegedo yanafuata.
 
Basi leo kila mtu atajifanya hatongozagi,
Nyie ndio mnalia hadi makamasi
 
Kosa lao ni kutumia mbinu za kishamba. Kabla sijaacha uzinzi sikuwahi kutongoza kiivo hata siku moja. Na niliziambulia sio haba.

Wangetumia approach sahihi hata hapa usingewaleta.
 
Mi ndo sijielezagi namna hiyo huwa naenda direct kwenye point... "unajua wewe ni mzuri? Njoo basi unitembelee geto baadae" ndo nimemaliza kusuka au kunyoa ni wewe na ukikubali ndo suala la namba na mambo mengine ya mgegedo yanafuata.
mmmh itakuwa unatongoza wanafunzi wewe! Eti njoo unitembelee geto baadae 😀😀😀
 
Haya ndio matokeo ya kuchanganya stress na ny**e. Sasa mtu kukutongoza ndio swala la kuja na mapovu hai hai ama kumfukuza kwako na unaweza kukataa kirafiki maisha mengine yakaendelea🚶🚶
 
Katika wanawake ambao akili zao zipo makalioni,na wewe ni mmoja wao.Ukishaumbwa mwanamke kutongozwa ni wajibu,ni fact of life,huwezi kuepuka kutongozwa,utatongozwa na wanaume wa kila aina,wa kila rika,wa kila rangi,kabila na wenye fedha na malofa piaUkitongozwa hufoki,hutukani,hukimbii bali unatoa majibu kwa staha tu,kama humtaki unajibu sikutaki na unaondoka tena kwa kumuuaga
 
Wewe hutaki kutongozwa kabisa?

Au unawabania watu fulani tu?

Huyo babu inawezekana ni bazazi, ila huyo jirani unamuonea tu.
 
Kwamba hiyo nonino yako ina ladha ya Strawberry?

Vp huko basha wako nae alivyokutongoza na kukupiga miti ulienda kusema nyumbani kwa wazazi wako?

ovyooooo....You bera wotchi yua back...(in Mamba's voice)
 
Wewe ni 1/1000. Chuma na sumaku vikisogeleana lazima vinasane. Kuna wale wanawake ukiwa na mazoea naye unamuita dada, aunt au mama lakini usipomtongoza anaanza kukudharau na kusema ni joka la kibisa, nyuki wa mashineni, mbwa asiyeng'ata. Hivyo, mwanaume apatapo nafasi ya kusogeleana na jinsia ya kike mwisho wake ni kutongozana tu!
 
Mhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…