hata kwa macho huli???Mkuu mimi nimeacha. Hata mnilazimishie usingiziniš

Moja kwa moja naungana na Frank Wanjiru š
Kama ndivyo mimi ni mbwa wa sokoniNdioooooooš„ŗ
Kuna mwanamke wangu mmoja nilimwambia nadhani siku nikimuoa ntaacha kabisa kutamani tamani nje ntafocus na ndoa yetu. Akaniambia wewe? Ndio mimi, akaongeza LABDA UPARALYSE lakini ukiwa sawa hadi unazeeka tu.Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha puaš š
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!
Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!
Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,
Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.
Adios!
Nilitongoza wanawake wawili siku moja. Wote wakakubali. Nimekula mmoja tu. Mmoja kabaki anashangaa mbona siombi mechi.Mkuu,
Utawalaumu bure hao miamba. Mwanaume na kutongoza ni kama samaki na maji. We kama hutaki mkatalie tu halafu usitilie maanani sana.
Mwanaume anaweza kutongoza wanawake kadhaa, wakakubali mfano 4 akala 1 tu
Eti huwa wanataka lile joto, ni mbwa hawa!Kuna wanaume mtu una mimba tumbo kubwa lakini wanakupigia psiiiiiiiiiii
maneno mengiiiii unachezea wino tu.....hutaki kuchakatwa mbususu?Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha puaš š
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!
Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!
Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,
Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.
Adios!
Sitongozagi wanafunzi, sitaki kusumbuana na serikali, watu wazima wanajitambua na ukiwatongoza wanajua kabisa ni kusogeza usiku tu, hakuna mambo ya kudanganyana kila mtu ana maisha yake.mmmh itakuwa unatongoza wanafunzi wewe! Eti njoo unitembelee geto baadae
NAKUJA NA VILE VISPIKA VYA KUUZIA DAWA ZA MENDEUwe mbali mita 100
Nimewahi kulizwa na mapenzi mara 1 tu nilipokuwa form 1 baada ya kutoswa na kadada tulichopendana toka darasa la 3, nikala kiapo sitokuja tena kulizwa na mapenzi, ndo mana mpaka leo I do just for fun!Basi leo kila mtu atajifanya hatongozagi,
Nyie ndio mnalia hadi makamasi
hujakutana na malaika, kabla hujaingia kaburini usiape chochoteNimewahi kulizwa na mapenzi mara 1 tu nilipokuwa form 1 baada ya kutoswa na kadada tulichopendana toka darasa la 3, nikala kiapo sitokuja tena kulizwa na mapenzi, ndo mana mpaka leo I do just for fun!
Mi hata nashindwa kumuelewa kabisa!no mkuu, huyu ni dizaini ya wale washamba washamba waliojua jiji at 50's
Mbona huo ni uongo wa live kabisa š .Lol, imajini mtu unamsalimia kwa heshima halafu anakuja kukwambia akilala anakuota, hawa viumbe hawaaaašš»
Yale maumivu niliyopataga yalikuwa makali sana, fikiri darasa la 3 ndo naanza kupenda nikampenda huyo binti. Nilichapwa sana na mama yangu, pia shuleni walimu walipambana sana kutuachanisha lakini mimi nikawa king'ang'anizi nikasema sijawahi kumwona binti mzuri kama huyo, nikasema nikiwa mkubwa nitamwoa na sitaki kulala nae hadi ndoa. Tulikuja kutenganishwa na haya mashule ya udhamini wa mabalozi kipindi cha mkapa yakajengwa mawili yeye akafaulu tofauti na mimi, ndo akawa mbali nami akanikana kuwa sijawahi kuwa na mahusiano na yeye.hujakutana na malaika, kabla hujaingia kaburini usiape chochote
Kwa iyo tukiwa vijana fresh tukikutongoza?Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha puaš š
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!
Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!
Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,
Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.
Adios!
Tengeneza Dunia yakoKama sipendi je
Ulichopewa na Mungu kumnyima mwanaume ni Dhambi Mariposa.Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha puaš š