Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Kuna mwanamke wangu mmoja nilimwambia nadhani siku nikimuoa ntaacha kabisa kutamani tamani nje ntafocus na ndoa yetu. Akaniambia wewe? Ndio mimi, akaongeza LABDA UPARALYSE lakini ukiwa sawa hadi unazeeka tu.
Kwahiyo dada Mariposa, mwanaume rijali haachi kutongoza hata akizeeka.
Unamaanisha hata akiweka tu mkono yeye anaridhika😂
 
Back
Top Bottom