Wanaume mna shida sana

Sipotezagi muda na watu km ninyi huwa moja kwa moja geto kuzuia kashfa km hizi.
 
Punguza pombe.....maandishi hayaeleweki ...we ni mdangaji...leo umekutana na kimeo
Nikipunguza Halafu? Kwamba nilienda kumdanga huyo asolipa bill au? Bure kabisa
 
Si umwambie tu huyo mlengwa moja kwa moja, wengine tunajitambua nafasi zetu na hatupendi kufananishwa na wasio jielewa
Hehehehe. Umefananishwaje sasa hapo mkuu
 
Umekoma .. Sa nane usiku upo macho kidume kalewa kalala.. Muwege mnatuletea hizo papuchi tuziparureee hadi majogoo.
Wala sijakoma. Maana ni mtu tu nilimkuta mezani akanishobokea. Sikumfuata yeye ila kulikua na kiti karibu yake akajua na mimi ndo kama wale wanawake wanaitwaga wanagawana
 
Hahaha siamini km huu uzi ni wako [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hivi kweli ni ww au umemwandikia mtu?
 
Kumbe shida ni kuwa tu hajafika price tag yako!!?
Ungeachana na hayo ya kumwita mshamba!!! Sema tu anashoboka hana hela na wewe upo kwenye business
Helloooo. Mbona hamuelewi. Simjui ndo kwanza nilimkuta mezani. Anyways mtakavyowaza mtajua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…