Wanaume mna shida sana

Sio mtu mfupi wa bongo movie. Mtu mfupi mwenye mahela. Nina hasira nakaribia kupasuka. Nakujia pm sasa hivi.
Mmh huyo mfupi sijammanya bado ukuje assap huko pm sipati notification kabisa leo za jf nipo kama kipofu
 
Hapana wakunyumba. Huyu ni kama wale wengine wanaodanganywa. Kuna vitu vingi vinaendelea hata mimi navishangaa. Nadhani it's time natakiwa kusema halafu niachane na hili jambo.
Wadharau tu na kuwapotezea endelea na mambo yako
 
Mzigua unazingua wala hausomeki ujue. Bill nipe mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…