Wanaume mnajua mna matatizo

Kwahiyo aendelee kumpa huku anasubiri majibu?? 😹😹
Hakuna cha outdated hiyo mbinu haina mbadala, yeye amnyime ili aone true color zake..!! Huyo bwana mjanja mjanja anataka ajipigie free P baadae akijipata atafute mke anayemtaka kwa muda huo..!!

Kipapa anyimwe, mwanaume mwenye visingizio vya kujitafuta kwa mwanamke anaangalia kipapa basi..!!
 
Ampe tu kwani ina last seen ? 🤣 Kama anaona haelewi aondoke zake ausikilize tu moyo wake !!
 
Hawa viumbe hawajawahi kua wazuri hata siku moja wanaume tuendelee kuwachakata, kuwazalisha na kuwatelekezao
 
Mlipokuwa faragha mnaongea, uliitikia kwa bashasha. Iweje ulivyotoka uje ulalamikie humu?
 
Upo sahihi kabisa, sasa hivi ni kuvisha pete na kusubiri ukiwa ndani. Ila ukishindwa kuwa mvumilivu ni wewe sasa.
 
Una loint ya msingi. Tumekusikia. Wacha tukalijadili na am sure we will come up with a solution
 
Mwanamme hasubiriwi, angetaka angekuweka ndani. Kimbia, yeye anasubiri kumpata mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…