Wanaume mnajua mna matatizo

Wanaume mnajua mna matatizo

Anajitafuta!!?? muulize alijipoteza wapi, umsaidie kumtafuta.
 
Ati mwanaume anakwambia honey sasa ivi mimi najitafuta kwa mda wa miaka mitatu naomba unisubirie! Hapo tayari ana kazi ambayo inamueka mjini alaf anakwambia bado anajitafuta umsubirie!

You don't even put a ring on it alaf unataka mwanamke akusubiri? Akija mwanaume mwingine amkatae kisa anakusubiria wewe ati unajitafuta! Na ata ukijipata mwanamke anakuwa hana uhakika kama utaendelea kua nae!

Mjiongeze kidogo kama unataka mwanamke akusubirie basi oa. Msitupime uvumilivu wetu! Nikusubirie ukishazipata uende kuoa mwingine mi nikae nakodoa macho. Kwendeni zenu kule! Mama yako tu ndo anaeza kukusubiri ujitafute kwa miaka yote iyo.
Usijali utampata aliyesahihi sahihI, kilio chako kimesikika
 
Nampenda ananipenda lakin kwa miaka yote iyo siezi subiri. Akitokea mwingine alieko serious namuacha
Ili baadaye ukishaolewa uje umerudie huyu jamaa ako wa sahivi, Atakaye kuoa ndo ana hasara
 
The poster is suffering from irrational fear and phobia

Hivi we mleta hujui kwamba mwanaume anaeza kukuoa mkaishi miaka mingi Tu na baadae kaka kukutema akishajipata na Hakuna kitu unafanya.
Kuwa makini Sana na wanaume.
 
Ati mwanaume anakwambia honey sasa ivi mimi najitafuta kwa mda wa miaka mitatu naomba unisubirie! Hapo tayari ana kazi ambayo inamueka mjini alaf anakwambia bado anajitafuta umsubirie!

You don't even put a ring on it alaf unataka mwanamke akusubiri? Akija mwanaume mwingine amkatae kisa anakusubiria wewe ati unajitafuta! Na ata ukijipata mwanamke anakuwa hana uhakika kama utaendelea kua nae!

Mjiongeze kidogo kama unataka mwanamke akusubirie basi oa. Msitupime uvumilivu wetu! Nikusubirie ukishazipata uende kuoa mwingine mi nikae nakodoa macho. Kwendeni zenu kule! Mama yako tu ndo anaeza kukusubiri ujitafute kwa miaka yote iyo.

Kwa mwandiko huu
Hakuna mwanaume atakusubiri

Wote watakwambia najitafuta nisubiri ili uende zako

Hiyo ni lugha rahisi ya kukwambia NENDA
 
Ukiona mwanamke anakuharakisha umuoe achana naye kabisa , anaepanga muda wa kuoa ni mwanaume na sio mwanamke! Mwanaume anapotaka kuoa anazingatia mambo mengi sana na anakuwa ameamua Kwa moyo wote sio shinikizo la mtu, ndoa ni MAJUKUMU na sio Lele mama mwanaume anapokwambia umsubiri Kwa Nini usimsubiri ?
 
Nyingine hizi ni dalili tu lakini the real psychological and emotional trauma huwa mnaipatia huko vyuoni. Mnaolewa kwa hizi ndoa bubu kwa miaka mitatu mizima mnachezewa tu halafu baada ya chuo vivulana vyenu hivyo vinawatema na kwenda kuoa pisi zingine huko. Wengi wenu mliopita vyuoni mna hasira sana na wanaume na ukiangalia vizuri source yake kubwa ni ama childhood trauma au ni laana ya hizi ndoa zenu bubu za vyuoni.

Seek psychological help and make sure you heal first from all the physical, emotional, spiritual and psychological wounds before you jump into any meaningful relationship vinginevyo MO itakuwa ni ile ile tu (kuchezewa na kuachwa) maana you are damaged goods emotionally japo mnaweza kuwa hamjijui.

Screenshot_20250126_061526_Instagram Lite.jpg
 
View attachment 3216123
Na tunawasasambua kweli kweli..
 
Ati mwanaume anakwambia honey sasa ivi mimi najitafuta kwa mda wa miaka mitatu naomba unisubirie! Hapo tayari ana kazi ambayo inamueka mjini alaf anakwambia bado anajitafuta umsubirie!

You don't even put a ring on it alaf unataka mwanamke akusubiri? Akija mwanaume mwingine amkatae kisa anakusubiria wewe ati unajitafuta! Na ata ukijipata mwanamke anakuwa hana uhakika kama utaendelea kua nae!

Mjiongeze kidogo kama unataka mwanamke akusubirie basi oa. Msitupime uvumilivu wetu! Nikusubirie ukishazipata uende kuoa mwingine mi nikae nakodoa macho. Kwendeni zenu kule! Mama yako tu ndo anaeza kukusubiri ujitafute kwa miaka yote iyo.
Pole aisee
 
Mdogo wangu uko busy kuangalia kwamba kijana amejipata ana kazi yake mjini lakini wewe huko unaenda kuoffer nini kwenye ndoa? Usikute na yeye yuko anakutazama wewe bado anaona unateatea mvivu au hutaki kujishughulisha vijana wa siku hizi hawataki ubweteke haimaanishi anataka kukutegemea au kuwa marioo kwako ila lazima mkishaingia kwenye ndoa huko kuna kukwama akikwama anajua ana backup ya msaidizi wake.

Focus kwenye kujitengeneza na kuwa bora zaidi kama akitokea mwingine katikati sikiliza moyo wako kaoelewe.
ila hiyo ya kumlazimisha akuoe wakati anaona bado kuna vitu anahitaji kuviweka sawa hatakuoa mpaka ameweka mambo sawa apate kujiamini kwamba hilo la ndoa analiweza !!!
 
Asubiriwe kawa Yesu?? Wewe kumpima na yeye imani mnyimwe kei mpk atakapomaliza kujitafuta… shida iko wapi hapo??
Siku hizi kumnyima mtu kipapa sio adhabu bhana imekua outdated🤣 labda kwa mgeni wa jiji.
Wakae wayajenge binti aangalie tabia ya mtu wake na anachokilenga na nia yake kwanini hamzingatii suala lake atamweleza.
Asipomuelewa akipata mtu atembee, akiridhia atulie asubiri.
 
Back
Top Bottom