Wanaume mnakera sana kupenda vya bure

Hebu anza na huyo kakaako anaechakaza button za remote control za babaako apo sebleni kwenu.
 

Make sure nchi inatufanyia la maana, madini na kadharika leo mdini na fedha za nchi ma kodi vimetujengea barabara jamaa anazitumaje kutuhadaa...cukua like mzee
UMENENE vizuri, mleta uzi huu ana kitu inaitwa diseases due to experience, kwa nini nchi isinifanyie vya bure, raha mle nyinyi
 


Baeleezee hao. Magufuli ameshasema - asiyefanya kazi na asile - na Nyinyi wanawake muwanyime Papuchi pia badala ya kuwalelea - sawa????
 
Ujumbe Huu uwe maalum kwa Mdogo Wangu Sumbai.. Alijua degree Yake Ya pili Angesoma bure
 
Uyu mwanamke atakua at**iwi vzur na shem
 
Mkiwa pata mabwana zenu huko wapenda vya mteremko masharobaro ndo unakuja kutushalilisha hapa ss wafanyakaz wanaume tunachakarika. Ww endelea kuangaika na wavulana huko utaishiaaa kulalamika kila cku
 
siku zote wanawake hawajielewi/hawaeleweki......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…