nobodylikedme
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 741
- 768
Mazee naona kuna kitu cha msingi kwenye hili bandiko lako, ukweli hata mimi naona kupiga mizinga sio issue kiivyo sababu haya maisha yanaenda kwa kusaidiana, kinachoudhi ni pale yule mpiga mizinga anapokuwa hana cha maana cha ku offer kwenye mahusiano zaidi ya uchi wake tu halafu na mizinga yenyewe anapiga kiholela tu bila breki utafikiri ametumwa na meneja wa saccoss kuja kukufilisi.Shida sio kupigwa mizinga, kama mizinga itaendelea kupigwa tu vizazi na vizazi. Shida ni kwamba wanawake wa kileo wengi hamjitambui. Waswahili wanasema ukitaka kula na kipofu usimshike mkono, sasa nyie hii methali, sijui nahau hii, sijui kitendawili hichi naona mmeshindwa kukitegua... Yaani kweli mwanamke unatongozwa leo, kesho unaanza kutangaza shida ni aibu, na kwa nini wanaume tusilalamike halafu sio wanaume wote wanapoonesha nia ya kuwahitaji basi eti wanataka kumwaga hiyo oil chafu. Wanaume wengine tunawapenda sana nyie wanawake na tuna nia njema ila tabia zenu mbovu mbovu ndio zinatutoa kwenye mstari.
Wanawake wetu hawa wa kibongo wengi wana na self entitlement attitude, yaani unaingia nae kwenye mahusiano huku kichwani mwake anawaza atafaidika vipi na huu uhusiano na sio atachangia nini kwenye huu uhusiano kwa manufaa ya wote wawili, yaani kwa sababu tu yeye ana K basi anaona hapo kamaliza, inashangaza kweli hawa dada zetu wa kibongo.
Mimi nafikiri ifike mahala hawa dada zetu wafahamu kwamba mahusiano sio kwa ajili ya mmoja kupata sex na mwingine kuchota mihela tu. IT ACTUALLY GOES BEYOND THAT, TZ LADIES SHOULD UNDERSTAND WHAT ACTUALLY THE TRUE RELATIONSHIP ENTAILS BEFORE THEY EMBRACE THEIR IRRITATING SENSE OF SELF ENTITLEMENT WHICH PAINTS THEM AS FINANCIAL PARASITE. RELATION IS NOT A UNION WHERE SOMEONE JUMPS INTO WITH SOLE PURPOSE OF ALLEVIATING HER FINANCIAL HARDSHIPS RATHER IT IS THE SACRED THING WHERE PEOPLE SHOWING AFFECTION,SHARING SOME AMBITIONS AND LIFE GOALS,ENCOURAGING EACH OTHER TOWARDS THEIR DREAMS FULFILLMENT ETC. IT DOESN'T NECESSARILY HAVE TO BE ALL ABOUT GIFTS AND SEX INCESSANTLY.
OP STOP BEING A FINANCIAL PARASITE, MEN OWE YOU NOTHING FINANCIALLY LET THEM COMPLAIN COZ THEY ARE SICK AND TIRED OF YOUR STUPID SENSE OF SELF ENTITLEMENT......... NAJUA HATA HAPA UTASEMA SINA HELA NDIO MAANA NIMEANDIKA SANA ILA UJUMBE UMEUPATA