Wanaume mnalalamika sana, tumewachoka!

Wanaume mnalalamika sana, tumewachoka!

Shida sio kupigwa mizinga, kama mizinga itaendelea kupigwa tu vizazi na vizazi. Shida ni kwamba wanawake wa kileo wengi hamjitambui. Waswahili wanasema ukitaka kula na kipofu usimshike mkono, sasa nyie hii methali, sijui nahau hii, sijui kitendawili hichi naona mmeshindwa kukitegua... Yaani kweli mwanamke unatongozwa leo, kesho unaanza kutangaza shida ni aibu, na kwa nini wanaume tusilalamike halafu sio wanaume wote wanapoonesha nia ya kuwahitaji basi eti wanataka kumwaga hiyo oil chafu. Wanaume wengine tunawapenda sana nyie wanawake na tuna nia njema ila tabia zenu mbovu mbovu ndio zinatutoa kwenye mstari.
Mazee naona kuna kitu cha msingi kwenye hili bandiko lako, ukweli hata mimi naona kupiga mizinga sio issue kiivyo sababu haya maisha yanaenda kwa kusaidiana, kinachoudhi ni pale yule mpiga mizinga anapokuwa hana cha maana cha ku offer kwenye mahusiano zaidi ya uchi wake tu halafu na mizinga yenyewe anapiga kiholela tu bila breki utafikiri ametumwa na meneja wa saccoss kuja kukufilisi.

Wanawake wetu hawa wa kibongo wengi wana na self entitlement attitude, yaani unaingia nae kwenye mahusiano huku kichwani mwake anawaza atafaidika vipi na huu uhusiano na sio atachangia nini kwenye huu uhusiano kwa manufaa ya wote wawili, yaani kwa sababu tu yeye ana K basi anaona hapo kamaliza, inashangaza kweli hawa dada zetu wa kibongo.

Mimi nafikiri ifike mahala hawa dada zetu wafahamu kwamba mahusiano sio kwa ajili ya mmoja kupata sex na mwingine kuchota mihela tu. IT ACTUALLY GOES BEYOND THAT, TZ LADIES SHOULD UNDERSTAND WHAT ACTUALLY THE TRUE RELATIONSHIP ENTAILS BEFORE THEY EMBRACE THEIR IRRITATING SENSE OF SELF ENTITLEMENT WHICH PAINTS THEM AS FINANCIAL PARASITE. RELATION IS NOT A UNION WHERE SOMEONE JUMPS INTO WITH SOLE PURPOSE OF ALLEVIATING HER FINANCIAL HARDSHIPS RATHER IT IS THE SACRED THING WHERE PEOPLE SHOWING AFFECTION,SHARING SOME AMBITIONS AND LIFE GOALS,ENCOURAGING EACH OTHER TOWARDS THEIR DREAMS FULFILLMENT ETC. IT DOESN'T NECESSARILY HAVE TO BE ALL ABOUT GIFTS AND SEX INCESSANTLY.

OP STOP BEING A FINANCIAL PARASITE, MEN OWE YOU NOTHING FINANCIALLY LET THEM COMPLAIN COZ THEY ARE SICK AND TIRED OF YOUR STUPID SENSE OF SELF ENTITLEMENT......... NAJUA HATA HAPA UTASEMA SINA HELA NDIO MAANA NIMEANDIKA SANA ILA UJUMBE UMEUPATA
 
Mnapenda vya bureeeee lazima muombwe... tena ikiwezekana mrogwe kabisa mtoe nyingi
THIS COMMENT MADE ME TO SHAKE MY HEAD...!! LORD HAVE MERCY UPON YOU.
kwa hiyo kumbe mtu akikutongoza wewe ni kama ananunua bidhaa kwa maana ni shariti lazima akughamie?

Hivi watu kama wewe unafuatiliaga hata feminism movement na misingi yake?
 
majoto nafasi ya kukwambia kuwa mapenzi sio pesa nikiipata unadhani utanielewa? Hivi huwa mnatumia muda kiasi gani kujua kuwa mwanaume yupo serious? By the way mnapiga mizinga isiyoeleweka kutaka pesa kwa malengo ya kutupima aisee hichi kipimo sio acha tu tutoke nduki ha ha ha ha!
Hakuna kipimo chochote wanachofanya, tangu lini pesa ikawa ni kipimo cha hisia na u-serious wa mtu? huyu mleta mada ni muwakilishi wa wandangaji tu sema ni mkeretwa wa mada anazoziona humu mara kwa mara ndio maana kaja kutoa povu.

Kutokana na trend ya wanawake wengi kuthamini sana pesa kuliko hata utu wao basi na mimi naona haina haja ya kuwaheshimu inavyopaswa, sababu hata wao hawakuthamini wewe bali ni pesa zako,. Hivyo hatuna haja ya kuendelea kuficha pale tunapopata makoloni mapya kama ni simu unapokea mbele yake kabisa. Now i'm hell broke thereafter i dont have a girlfriend coz i cannot afford her demands, but let me assure the OP and the rest of ladies who share her line of thinking i will have as many girlfriends as i can when i get enough money in my pockets and i won't hide them from knowing each other because they are only around me for financial benefits. I will honestly not feel guilt of shagging multiple ladies at the same times because they dont really love me but my money so waombee niendelee kuwa broke hivi hivi.
 
Mbaya zaidi mwingine hata hujamtongoza anaanza message za kukutongoza itasakia my ,baadae utasikia nikuambie kitu. utamwambia sema utasikia nna shida na kiasi Fulani cha pesa. Mwingine nlimuambia npo nje ya nchi.itabid unisubirie baada ya miezi sita. Baada ya hapo hajibu msg tena.mimi sikumuaproach. muache utapeli na unambazi nyie wadada.mnajitongozesha ili muanze kupiga mizinga
 
Mentality ya wanawake wetu ni kutumia mbunye kupata hela.
Fanyeni kazi mpate pesa zenu mtaacha kutegemea uchi kuwa sehemu ya mapato.
 
Nimefanya utafit mdogo tu humu nimegundua wanaume mnalalamika sana kuhusu wanawake kuwaomba pesa, kuwapiga mizinga, kutotosheka na mnachowapa na mengine kibao. Jamani eee hebu acheni kulalamika kwa kuwa hayo mmeyataka wenyewe. Unatafuta mwanamke ili uwe unamwaga grisi chafu hapo na unataka akuhurumie asikuombe chochote! Haiwezekani hata kidogo. Wewe kama unajiona unahitaji mwanamke kwa nini huoi? kwa nini usimchukuwe jumla? muweke ndani maisha yaendeleee....Lakini hii biashara ya malalamiko yasiyo ya msingi humu tumeichoka! Acha wawapige mizinga hadi mtie akili na kutafuta ufumbuzi ambao ni wa kubeba jumla. Hamjifunzi wa baba zenu? hamuoni wametulia na mama zenu?

Tofauti na hivyo mtaishia kulishwa malimbwata, kudharauliwa, kupoteza muda kuwaza maumivu ya kutendwa badala ya kuwaza na kupanga maisha. Ukweli ni kwamba simhurumii hata kidogo mwanamume anayepigwa mizinga! Pigweni tuuuuuuu.... good day kwa wapigwa mizinga wote
Mm huwa najipigia zangu chaputa kirohosafi mambo ya kupigwa kibuti kwaajili ya gololi moja tuu sitak kusikia,
 
Nimefanya utafit mdogo tu humu nimegundua wanaume mnalalamika sana kuhusu wanawake kuwaomba pesa, kuwapiga mizinga, kutotosheka na mnachowapa na mengine kibao. Jamani eee hebu acheni kulalamika kwa kuwa hayo mmeyataka wenyewe. Unatafuta mwanamke ili uwe unamwaga grisi chafu hapo na unataka akuhurumie asikuombe chochote! Haiwezekani hata kidogo. Wewe kama unajiona unahitaji mwanamke kwa nini huoi? kwa nini usimchukuwe jumla? muweke ndani maisha yaendeleee....Lakini hii biashara ya malalamiko yasiyo ya msingi humu tumeichoka! Acha wawapige mizinga hadi mtie akili na kutafuta ufumbuzi ambao ni wa kubeba jumla. Hamjifunzi wa baba zenu? hamuoni wametulia na mama zenu?

Tofauti na hivyo mtaishia kulishwa malimbwata, kudharauliwa, kupoteza muda kuwaza maumivu ya kutendwa badala ya kuwaza na kupanga maisha. Ukweli ni kwamba simhurumii hata kidogo mwanamume anayepigwa mizinga! Pigweni tuuuuuuu.... good day kwa wapigwa mizinga wote
Idiot
 
Back
Top Bottom